Mtu anatekwa Stendi ya Magufuli huku watu wanaangalia? Wananchi tunatakiwa kujitafakari, imekuaje tumekuwa mazombi hivi?

Hali imefika hapa ilipo kwa uwoga wa wananchi wenyewe, umoja kwenye mambo ya kijinga , lakini mambo serious ahhh
 
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Wananchi wameejazwa Uchama wale wa Chama A wakiona mtu anakamatwa hivyo wanasherekea kwamba mpinzani akamatwe akauliwe huko aache kuwasumbua sumbua
 
Dah! Yule jamaa Hamza anastahili pongezi nyingi sana kwa ule ujasiri wake. Maana siku zote dawa ya moto ni moto tu.
 
Siku ukionyeshewa Bomba la bunduki usoni huku wewe ukiwa huna silaha aina ya bunduki utakuja kufuta huu ushuzi wako hapa
 
Cute Wife taarifa za awali nadhani unazo. Ebu nenda pale stendi upate a b c za kutosha ukinukishe. Isiwe wa kulalamikia wenzako tu!
 
Tulia uelezee vizuri tukio lilikuaje, unavyoelezea ni kama vile na wewe ulikuepo eneo la tukio, umeshindwa kuchukua hata video au picha?

Mbona Uzi upo unaoelezea kila kitu. Utafute ukausome
 
Ila Dar waoga Sana. Ukiangalia Kuanzia kutekwa kwa Mzee Ally Kibao mpaka kwa Tarimo utaona watu wa dar Wana shida.
 
Ni vizuri haya mambo yatokee, labda yakitokea kila siku ili wananchi watazinduka.
 
Tulia uelezee vizuri tukio lilikuaje, unavyoelezea ni kama vile na wewe ulikuepo eneo la tukio, umeshindwa kuchukua hata video au picha?
Pitia nyuzi nyingine zina habari kwa kina humu jamvini huyu ameendeleza tuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…