Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hali imefika hapa ilipo kwa uwoga wa wananchi wenyewe, umoja kwenye mambo ya kijinga , lakini mambo serious ahhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tusubiri mpaka watumalize kisha wageukiane? Bad thng hatutakuwepo kushuhudia wakigeukana maana tutatakuwa tuwekwisha.Wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao! Watageukana
Wananchi wameejazwa Uchama wale wa Chama A wakiona mtu anakamatwa hivyo wanasherekea kwamba mpinzani akamatwe akauliwe huko aache kuwasumbua sumbuaKwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Alisema wapi? Hebu toa ushahidi, sio kuweka stori za vijiweni hapa😁Kenyatta alikuwa sahihi kusema Nyerere anaongoza maiti
Hata kupiga nduru wajemeni kujaza nzi?? Nduru ni silaha tosha. Adui lazima achanganyikiwe. Hilo gari lingeshambuliwa na mawe. Kama hakuna mawe hapo ni standing kuna chupa za soda za kutosha.Ndugu ,bunduki haina mwenyewe .
Cute Wife taarifa za awali nadhani unazo. Ebu nenda pale stendi upate a b c za kutosha ukinukishe. Isiwe wa kulalamikia wenzako tu!Wakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.
Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Tulia uelezee vizuri tukio lilikuaje, unavyoelezea ni kama vile na wewe ulikuepo eneo la tukio, umeshindwa kuchukua hata video au picha?
Ndo ujue ukiwa kolo unabeba msalaba wako peke yako
Ni vizuri haya mambo yatokee, labda yakitokea kila siku ili wananchi watazinduka.Wakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.
Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
shida kubwa....!Ila Dar waoga Sana. Ukiangalia Kuanzia kutekwa kwa Mzee Ally Kibao mpaka kwa Tarimo utaona watu wa dar Wana shida.
Wao wasiojulikana wao wapo IndiaWakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao! Watageukana
Dar imejaa waoga waoga wengi saaaanaNdio maana wakamsubiri atoke kigoma , kule waha wasingewaacha watekaji ila daslam ni simple tu hamna mtu anakufatilia.
Waoga waoga mnoooo chanzo watoto wa mbwa mwitu panya roadIla Dar waoga Sana. Ukiangalia Kuanzia kutekwa kwa Mzee Ally Kibao mpaka kwa Tarimo utaona watu wa dar Wana shida.
Pitia nyuzi nyingine zina habari kwa kina humu jamvini huyu ameendeleza tuu .Tulia uelezee vizuri tukio lilikuaje, unavyoelezea ni kama vile na wewe ulikuepo eneo la tukio, umeshindwa kuchukua hata video au picha?