Hilo jengo unalo lisemea limejengwa eneo analo taka kujenga mleta mada? Kama sio kwanini una assume?Ninachojua yapo majengo yamejengwa enzi na enzi na hayana column, kwa hiyo anaweza kuwa sahihi kulingana na vigezo.
Hii option ingekua na maana kama huyo injinia wake angefanya haya.Yaweza kua umemwambia apunguze gharama na yeye ameona kutoweka nguzo ni option ya kupunguza gharama
Ulichoandika ni logic naamini wote engineer na mleta uzi wataconsiderHii option ingekua na maana kama huyo injinia wake angefanya haya..
1. Kwanza aje na gharama za option zote yaani ujenzi wa colums na ujenzi wa bila columns. Kisha aseme kama kuna tofautinua bei je ni significant? Maana usije kuta una sevu buku nane kisha unasema unakwepa gharama!
2. Pili aje na detailed technical analysis ya hizo option mbili na atuambie kwamba ndio tuna sevu gharama lakini je usalama wa watu watakao tumia hilo jengo kwa miaka 50+ ijayo upoje?
Maana usije kuta tuna sevu gharama alafu tuna hatarisha uhai wa watu!
Wanasema gorofa 1 haisumbui sana; ni sawa na mwili wa binadamu bila mifupa haiwezi kusimamaWahandisi tupeni miongozo
Mimi naona inawezekana hili Jengo lilijengwa na Wajerumani mwaka 1916 mpaka leo lipo.
Iringa Boma.
View attachment 2035113
Kwa sababu hilo jengo limejengwa iringa haimaanishi jengo linaweza jengwa sehem yeyote hapa duniani.Wahandisi tupeni miongozo
Mimi naona inawezekana hili Jengo lilijengwa na Wajerumani mwaka 1916 mpaka leo lipo.
Iringa Boma.
View attachment 2035113
Wanasema gorofa 1 haisumbui sana;
Sijatumia formula ya darasani,ila kwa uzoefu gorofa moja itashikiliwa na kuta imara za chini; utakapoenda gorofa ya pili, itategemea muendelezo wa gorofa ya kwanza kutokea kwenye msingi, ambapo kiunganishi ni nguzo kutoka chiniWanasema akina nani?
Na wame tumia kigezo gani kusema haisumbui sana?
Wahandisi tupeni miongozo
Mimi naona inawezekana hili Jengo lilijengwa na Wajerumani mwaka 1916 mpaka leo lipo.
Iringa Boma.
View attachment 2035113