Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Acha kucomplicatisha maisha, unahitaji detailed structural analysis umetoa hela??Hii option ingekua na maana kama huyo injinia wake angefanya haya..
1. Kwanza aje na gharama za option zote yaani ujenzi wa colums na ujenzi wa bila columns. Kisha aseme kama kuna tofautinua bei je ni significant? Maana usije kuta una sevu buku nane kisha unasema unakwepa gharama!
2. Pili aje na detailed technical analysis ya hizo option mbili na atuambie kwamba ndio tuna sevu gharama lakini je usalama wa watu watakao tumia hilo jengo kwa miaka 50+ ijayo upoje?
Maana usije kuta tuna sevu gharama alafu tuna hatarisha uhai wa watu!
Mtu kauliza amejibiwa shida iko wapi??
Anyways, Hakuna shida, mimi ni engineer tena structural na nina muhuri kabisa wa ERB.
Nasema hivi, INAWEZEKANA TENA BILA SHIDA YEYOTE KUJENGA JENGO HATA LA GHOROFA TATU BILA KUTUMIA COLUMNS.
Ukiwa na tofari za kuchoma itakuwa nzuri zaidi kuliko hizi za block za mtaani.
Maana tofari za kuchoma constantly zina bearing capacity kubwa ukilinganisha na za block ambazo nyingi ni za michongo