Mtu anayejenga gorofa bila kusimamisha nguzo za zege (columns), ni imara kweli?

Wewe kazi yako kupinga tu, maswali mengi Ila huna majibu sahihi...wacha wazoefu na wataalamu wajibu.
 
Asante sana mkuu. Shida ni sehemu gani ya kupata hizo tofali kwa DAR? Fundi niliyemtumia ni mzoefu sana ana age almost 70 na mjenzi toka ujana wake. Nilishangaa kukuta msingi hauna hizo colums siku nafika site namwuliza anasema hakuona haja ya kuweka kwa sababu udongo ni mzuri sana hivyo nitafute tu tofali imara za floor ya kwanza.
Nilishindwa kugombana nae kwa sababu ni mtu mzima sana na amesaidia watu wengi na amejenga magorofa mengi.
Kwa sababu natamani kupata nyumba IMARA natamani kumwomba tuvunje zile sehemu ambazo ni critical tuweke colums.

Nimeshindwa kumwamini anachoniambia maana KILA NYUMBA YA GOROFA NAYOIONA INA COLUMS.

NA NAOMBA NIKIRI KUWA KWENYE UJENZI HUU WA GOROFA SIFAHAMU CHOCHOTE.
Eng. americomend haina shida nipate tu tofali IMARA.
Kwa DAR NAZIPATA WAPI? na pia inweza kuwa gharama kuliko angeniwekea hizo columns.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…