Mtu gani maarufu ni Crush wako?

Mtu gani maarufu ni Crush wako?

Attachments

  • FB_IMG_1705576097654.jpg
    FB_IMG_1705576097654.jpg
    53.6 KB · Views: 7
Haya mambo nilikuwa nafikiri unapitia kwenye foolish age?bado kuna watu wazima wenye crush pia?

Mbona ni kawaida tu mkuu, pitia thread nyingi tu utakuta wakianza kutajwa celebrities kuna watu lazma wawataje mastar wanaotamani kutoka nao. Hiyo ndo kucrush mkuu

Ni matamanio na hayafi kutokana na umri japokuwa lugha ya kucrush imekaa kibalehe balehe ila concept yake haiishi
 
Ooh hata mimi sasa nimeelewa hapa
 
Huyo demu umenikumbusha enzi hizo alikimbiza sana wenye tamthilia za Kifilipino

Kwenye Timeless akiitwa Arabella na mshikaji wake Christian

Na The Promise aliitwa Maria na bwana wake Angelo

Wafilipino sura wamebarikiwa tatizo tako na shape ndo hawana kama mbao
 
Huyo demu umenikumhisha enzi hizo alikimbiza sana wenye tamthilia za Kifilipino

Kwenye Timeless akiitwa Arabella na mshikaji wake Angelo

Na The Promise aliitwa Maria na Angelo

Wafilipino sura wamebarikiwa tatizo tako ndo hawana kama mbao
Nomah sana, Demu ni chombo hatari!
 
Back
Top Bottom