Mtu gani maarufu ni Crush wako?

Mtu gani maarufu ni Crush wako?

Alicia Mafunguo
1000026971.jpg

Na
Jordin Macheche
1000026975.jpg
 
Maaana na upepo umekimbia sana ...na mm nikakimbia ila ngoja nichangie kidogo wa umri wangu wataelewa...

Wakati mercy galabawa yupo on the roof nilichanganyikiwa aiseee...! Akaenda marekani akarudi mi na yeye tu..ila nilimkosa...!

Nina bongo movie aisee i love that woman...yeye na davina was a dream hiyo 2000 to 2004
Nilimkosa kabisa i was off limit...she was hot nilivyosikia na mzee kakaa tena baba mkubwa liyumba...bhaaas nikakausha

96 hiyo caitlyn wa sunset beach aisee ilikua balaa....
Lkn yaliisha yale...na sunset beach ikaisha.....

Aisee si akaja huyo mwanamke wa juma nature...sinta that was something....ila nae ikaenda...!

Wako wengi..ila umri umeenda

Lkn ngoja nijazie...

Yule dada wa itv..akahamia vodacom msemaji dah
Norah
Zay b..huyu tulifika mbali simalizii...
Mboni masimba huyu pia kuna namna nilimuogopa etoo
Mona kama mona...!

Crush ni crush tu..tatizo haitokei ukiwa over 40.unakua unaweza kuicontrol...tofauti na 20s na 30s...

Na kuna dem alikua equity bank golden jubilee aisee pale nilipambana....!
 
Basi, nimeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi nilijua tu nikakaa kimya kwanza, Diamond haaminiki hata siku moja. Mange kadhalilika maskini!
Ndio maisha ya umbea tena [emoji17]
Umenikumbusha ile ulivyomchambaga hapa JF[emoji1787][emoji1787]Hadi leo amekimbia ID...

Ila hiyo ya Dai ni kama alijua kuna attention inatafutwa.. na hata alivyoiandika ipo kimasihara sana.
 
Maaana na upepo umekimbia sana ...na mm nikakimbia ila ngoja nichangie kidogo wa umri wangu wataelewa...

Wakati mercy galabawa yupo on the roof nilichanganyikiwa aiseee...! Akaenda marekani akarudi mi na yeye tu..ila nilimkosa...!

Nina bongo movie aisee i love that woman...yeye na davina was a dream hiyo 2000 to 2004
Nilimkosa kabisa i was off limit...she was hot nilivyosikia na mzee kakaa tena baba mkubwa liyumba...bhaaas nikakausha

96 hiyo caitlyn wa sunset beach aisee ilikua balaa....
Lkn yaliisha yale...na sunset beach ikaisha.....

Aisee si akaja huyo mwanamke wa juma nature...sinta that was something....ila nae ikaenda...!

Wako wengi..ila umri umeenda

Lkn ngoja nijazie...

Yule dada wa itv..akahamia vodacom msemaji dah
Norah
Zay b..huyu tulifika mbali simalizii...
Mboni masimba huyu pia kuna namna nilimuogopa etoo
Mona kama mona...!

Crush ni crush tu..tatizo haitokei ukiwa over 40.unakua unaweza kuicontrol...tofauti na 20s na 30s...

Na kuna dem alikua equity bank golden jubilee aisee pale nilipambana....!
Huyo Mercy Galabawa, FA alimtaja kwenye mabinti. Kuna mabinti wa 1990s na 2000s wakisimamishwa naye anawakimbiza
 
Back
Top Bottom