Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahahaMaaana na upepo umekimbia sana ...na mm nikakimbia ila ngoja nichangie kidogo wa umri wangu wataelewa...
Wakati mercy galabawa yupo on the roof nilichanganyikiwa aiseee...! Akaenda marekani akarudi mi na yeye tu..ila nilimkosa...!
Nina bongo movie aisee i love that woman...yeye na davina was a dream hiyo 2000 to 2004
Nilimkosa kabisa i was off limit...she was hot nilivyosikia na mzee kakaa tena baba mkubwa liyumba...bhaaas nikakausha
96 hiyo caitlyn wa sunset beach aisee ilikua balaa....
Lkn yaliisha yale...na sunset beach ikaisha.....
Aisee si akaja huyo mwanamke wa juma nature...sinta that was something....ila nae ikaenda...!
Wako wengi..ila umri umeenda
Lkn ngoja nijazie...
Yule dada wa itv..akahamia vodacom msemaji dah
Norah
Zay b..huyu tulifika mbali simalizii...
Mboni masimba huyu pia kuna namna nilimuogopa etoo
Mona kama mona...!
Crush ni crush tu..tatizo haitokei ukiwa over 40.unakua unaweza kuicontrol...tofauti na 20s na 30s...
Na kuna dem alikua equity bank golden jubilee aisee pale nilipambana....!