Mtu gani maarufu ni Crush wako?

Hahahahahaha
 
Umenikumbusha ile ulivyomchambaga hapa JF[emoji1787][emoji1787]Hadi leo amekimbia ID...

Ila hiyo ya Dai ni kama alijua kuna attention inatafutwa.. na hata alivyoiandika ipo kimasihara sana.
Nina bahati sana, ingekuwa ndio kipindi hiki ningedhalilika mwenzenu!
Ningeanikwa nchi nzima ingenijua 😭😭

Hii ya Dai alijaa kweli, ndio maana wala hajakataa. Na ujue hiyo ndio habari inayosubiriwa, so akisema chochote kuhusu kuachana mtu usipokuwa makini unadhalilika.

Mimi niliiona usiku uleule, nikataka kuwaletea hapa nikasema hapana, mpaka nikicheki chanzo changu kwanza nihakikishe maana Dai haaminiki ndio pona yangu 🀣
 
Huyu binti alikua hatari sana Mercy Galabawa na kulikua na Shose Senare hatari sana
Au Miriam Ikowa

Celebs wa kike wa zamani walikuwa smart sana ndio maana baadhi waliolewa na wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa na wengine wana biashara zao, wako walioanzisha taasisi zinazodeal na mambo ya kijamii wanapiga hela za wahisani, wengine wako vitengo vikubwa kwenye makampuni makubwa

Ila celebs wa kike wa miaka hii ni takataka tupu umalaya na kubinua matako ndicho wanachojua
 
Swadakta Mkuu..Miriam Ikoa..Mercy Galabawa, Shose Senare hawa walikua warembo na akili wanazo..unamkumbuka Emily Adolf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…