Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri.

Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli!

Ukumanyoko wala si dili! 😎
Loo, imekuwaje tena mpendwa wangu?
Ila Mungu si mwepesi wa hasira, naamini atakuhurumia na kukusamehe ukitubu hayo matusi uliyomwaga hapa
β€œTukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.” ( 1 Yohana 1:9)
 
Sijatukana mbona.
 
Mkuu chupa ya ngapi hiyo? Nikukumbushe tu kuwa kesho ni Jumatatu
Mkumbushe pia Yesu yuaja upesi, walevi wataachwa
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi." 1 Kor 6:9-10
 
secretarybird
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…