Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Bonsipele69

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2023
Posts
364
Reaction score
915
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
 
Maisha
 
Biashara zinafanyika online, personal nauza VFD, nafanya marketing online, nauza online nalipwa online, nawaunganisha wateja online nalipwa online nalipwa mawakala online, inshort silazimiki kutoka nyumbani
Hajakuelewa rudia tena tafadhari!
Wabongo wamezoea kazi za jasho na ile sifa ya kuonekana unatoka asubuhi na kurudi usiku. Hata kama hurudi na kitu utaonekana bora kwao.
 
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Kapangiwa chumba na anahudumiwa kila kitu
 
Back
Top Bottom