Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Sio kweli hata mimi huenda majiran zangu wanahisi hivi. Mimi hutoka nyumbani jumamos na jumapili kula mema ya nchi. Siku zilizobak niko home full time labda nitoke kwa dharura. Kuna kazi zinafanyika remotely
 
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Kwani hujui kuna watu wanajua kona zote kuhusu Biashara Online..

Jifunze uiweze,jipe muda Online pesa zipo ni wewe tu ujue namna ya kuzipata
 
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau

Dunia imebadilika sana tofauti na zamani enzi za kubeba briefcase na makaratasi kibao. Siku hizi kuna remote jobs ambazo hazihitaji uwepo physically ofisini. Zinataka udeliver kazi uliyopewa within time frame uliyopewa ukimaliza unakula pesa yako safi. Kwa bongo, kulikua na UpWork na wadau wamepiga sana kazi from home.
Screenshot (272).png
 
Attachments

  • Screenshot (272).png
    Screenshot (272).png
    152.3 KB · Views: 8
Majirani bhana kipindi cha nyuma niliwahi dhaniwa me ni TWISS kisa navaa suti na kaunda.kilicho wamaliza kabsa ni jirani mmoja ali niona naongea na mkuu wa mkoa akajua baaasi, Kumbe gaidi nilienda kulia shida zangu
 
Na jamaa yangu ye anauza movies online hizi movie zinazopendwa uswahili zilizotafsiriwa sasa mwamba anatumiwa na yeye anatuma kwa wateja wake anaweza kukaa ndani siku nzima ila anatengeneza hela, dunia ya sasa unaweza kufanya kazi nyingi online
 
Back
Top Bottom