Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
MaishaNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Hajakuelewa rudia tena tafadhari!Biashara zinafanyika online, personal nauza VFD, nafanya marketing online, nauza online nalipwa online, nawaunganisha wateja online nalipwa online nalipwa mawakala online, inshort silazimiki kutoka nyumbani
Hii ipo sana kwa machawaAlikuwa anagawa BOGA kwa masela / WAHUNI.
Huu ndio utamu wa demokrasia. Unakula kiulaini bila jasho.
Unachopaswa kufanya ni kufungua BOGA LAKO na kulitumia kikamilifu (EFFECTIVE UTILIZATION).
Cc: Lamomy Poor Brain Extrovert Mzee wa kupambania mshamba_mwingine dronedrake Yohimbe bark
Kapangiwa chumba na anahudumiwa kila kituNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau