Hiyo ndo shida yenu wanawake kuchunguza maisha ya watu! Usiishi kwa kukariri, huenda ni mtu wa forex trading au blogger...kwanza unapata wapi muda wa kufatilia maisha ya watu!? Umasikini mbaya sana aisee.Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
We fukara basi unalazimisha kila mmoja afanane na wewe!!! Endelea kuokota mkopo ewe fukaraaaaHalafu kuna wewe gen z ambaye wazazi wako wanekutimua kwenu na kukuambia ujitegemee bila mtaji wala ajira
Mkuu ujinga unakuwa mzigo wakati mwingine,wewe unataka umuone mtu kachafuko nguo kwa rangi,au grisi au tope ndio ujue anafanya kazi au atoke asubuhi na kurudi jioni, watu wanatengeneza pea vyubani huku wamelala kitandani,tena hutengeneza pesa mamilioni,mitandao,simu, laptops ndio ofisi siku hizi,wala huhitaji hata kwenda benki ni msj tu unaingiza pesa, au umesahau kipindi cha UVIKO aka Corona watu walikuwa wanafanya kazi wakiwa majumbani mwao ni sawa na mtu yupo Bongo lakini anafanya kazi na walioko Marekani au Ulaya au Uchina na kwingineko. Tabu ya kuishi uswahilini na nyumba za NHC ndio hizi.Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Oyaaa 😀Alikuwa anagawa BOGA kwa masela / WAHUNI.
Huu ndio utamu wa demokrasia. Unakula kiulaini bila jasho.
Unachopaswa kufanya ni kufungua BOGA LAKO na kulitumia kikamilifu (EFFECTIVE UTILIZATION).
Cc: Lamomy Poor Brain Extrovert Mzee wa kupambania mshamba_mwingine dronedrake Yohimbe bark
Sikuhizi kuna njia nyingi sana za kupata fedha na kuinua uchumi wako, usikariri zile traditional ways kwamba lazima uingie mzigoni mzima mzima ndio upate pesaNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Inaitwa "working from home". Ni kawaida sana kwa dunia ya leo.
Sometimes ni maisha boring kidogo, lazima utembee tembee.I envy sana haya maisha. Una kaa ndani hata mwezi yani. Working remotely kazini unafikisha KPI zako kama kawaida, yani tena ukiwa introvert ndio uta enjoy sana.
Wee mkazi wa Tanga? Mambo hayo ya kuchunguzana Dar hayapo.Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Acheni tabia zenu za kishenzi kuchunguza maisha ya watu! Acheni roho za kichawi , fanyeni kazi.Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Trading huna haja ya kwenda ppt ni ww na simu yako or kompyuta mpakato na bando lako,unaweza waziwa vitu vya ajabu sanaNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau