St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Anacheza kindege..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio jibu,tatizo la Wabongo wanataka kila mtu awe anakimbizana tu kwenda maofisini asubuhi. Mbona kuna wazee wa Pwani unakuta ana ngalawa mbili na shamba la minazi,hizo ngalawa anakodisha na nazi anauza lakini yeye muda mwingi yupo kucheza bao na kunywa kahawa,wengine wanatembea na kazi mkononi na kichwani. Asipokuelewa hapa basi akapimwe akiliBiashara zinafanyika online, personal nauza VFD, nafanya marketing online, nauza online nalipwa online, nawaunganisha wateja online nalipwa online nalipa mawakala online, inshort silazimiki kutoka nyumbani
Ulpanga maeneo gan??Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Dunia imebadilika Ili upate hela mtandaoni unatakiwa uwe na ujuzi wowote ule.N
Mkuu natamani nipate kazi ya hivi
Kwahapa tanzania hawafiki asilimia 5 wakulala tu hom bila kuondokaDunia imebadilika Ili upate hela mtandaoni unatakiwa uwe na ujuzi wowote ule.
Mfano. Blogging, mwalimu, daktari, msanifu majengo n.k
Sehemu ni nyingi za kuweka ujuzi wako km youtube, x, facebook, website, blog au telegram.
Kama hauna ujuzi, jifunze maana wanaokupa hela ni watu halisi baada ya kutatua matatizo yao.
unataka ujue imekaaje ili uikalie au fanya maisha yako mleta madaNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Kuna njia zaidi ya bilion za kupata pesa duniani na kila siku zinazidi kuongezekaKwahapa tanzania hawafiki asilimia 5 wakulala tu hom bila kuondoka
sasa kama lazima mngenua umeshindwaje kujua kama ni jambazi au muuza madawa..... mbona una hisi tu huna uhakikaMajiran lazima mnajuana ata kama n biashara ya mtandaoni au anafanya kaz nyumban lazima mngejua huyo atakuwa muuza madawa au jambaz
Aisee huwezi kuishi ulaya hata wiki kwa tabia hiyo ya kufuatilia ya watu wanaishije,wanapataje kipato nk....fanya mambo yakoNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
na Uhakika huyo anafanya Betting na anakula mahelaNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Twiss duMajirani bhana kipindi cha nyuma niliwahi dhaniwa me ni TWISS kisa navaa suti na kaunda.kilicho wamaliza kabsa ni jirani mmoja ali niona naongea na mkuu wa mkoa akajua baaasi, Kumbe gaidi nilienda kulia shida zangu
Safi sana hii, I did it for 3 years back then.Pole ndugu kwa kuwa nyuma kiasi hiki dunia ya leo ipo kidigitali hivyo sio lazima mtu atoke aende kupatia riziki nje ya anapoishi, binafsi nimewahi fanya kazi miaka miwili nyumbani sikuwa natoka hata kila kitu namalizia online, na kama kuna vya kufuatilia physically ilikuwa natuma watu/mtu.
Ufe njaaIga ufe😂😂😂