Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Tupeane fursa mkuu, mwaga nondo na sisi wengine tujaribu, mfano mimi ni graphic designer lakini sijui namna ya kupata online jobs. Ujuzi ninao nilichokosa ni fursa
 
ukipanga nyumba moja na mtu kama mleta mada unaweza mla mareender kizembe tu maana atataka kukujua hapo ndipo unamkribisha kajuice kana dozi akisinzia unamkakasa mareender yote
😀😀
 
Kawaida hiyo. Kuna jamaa namjua amepanga na huwezi kumuona akifanya kazi kutwa yupo na fortuner new model na bebz kama wote kumbe wazazi wake walivyofariki walimuachia ghorofa kariakoo kazi yake ni kupokea kodi na kufanyia marekebisho.
Cc : ephen_
Halafu kuna wewe gen z ambaye wazazi wako wanekutimua kwenu na kukuambia ujitegemee bila mtaji wala ajira
 
Mtupe mifumo basi na sie tufanye online kazi, ata kwa siku elfu Tano tuingize tu
 
Anadownload mapesa kupitia forex,acheni kufuatiria maisha ya watu mtalogwa bure.
 
Online works ni nyingi siku hizi office ni popote, skills - time - electricity - internet
 
Wanasema inahitaji uvumilivu na consistency of working
Hakuna kitu km sio rahisi hivyo yaan mpaka upate mtu akutengenezee huyo anaekwambia hivyo mwambie akutengenezee alafu akuunganishe na wateja kinyume na hapo unaenda kusugua gaga hizo Dili wanaunganishiana sio unaenda kichwa kichwa
 
Nchi ngumu sana hii.

Ukikaa nyumbani shida.

Ukiwa unatoka na kurudi late nako shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…