The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Tupeane fursa mkuu, mwaga nondo na sisi wengine tujaribu, mfano mimi ni graphic designer lakini sijui namna ya kupata online jobs. Ujuzi ninao nilichokosa ni fursaKuna njia zaidi ya bilion za kupata pesa duniani na kila siku zinazidi kuongezeka
Huo muda wa kumchunguza mwenzako unaupata wapi? Siku zote ukijipata usikae uswahilini ndiyo matokeo yake haya.
Mimi walikuwa wanamuuliza shemeji yako, mimi nafanya kazi gani. Nalipa umeme, maji, kodi na nipo ndani. Hata ukijua nafanya kazi gani itakusaidia nini?