Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

Kwa tabia za washabiki wa Yanga za kulialia,kuzomeazomea na kubwekabweka Luc Eymael alikuwa sahihi kabisa kuwafananisha na nyani na mbwa,namuunga mkono.
 
we acha tu watu wanatafunwa sana kuna boss mwingine kwenye team kubwa anawatafuna wanaume kabisa na kuwapangia majumba sehemu za bei ghali wengine anawasafirisha ma holiday huko duniani na kwenye ma viwanja makubwa kuonana na wachezaji wakubwa
wengine hadi watoto zao anawasomesha nje kisa tu anawazibua mtaro anazuga kwamba ni wasemaji
 
Watu weusi au watu wa utopolo ndio hao akili kama nyani?
Binadamu unaweza kumuita mbumbumbu kwa kuwa ni binadamu ila mtu akivuka mipaka ya ubibadamu hadi kuitwa nyani na huku tunamwona ni binadamu basi ujue ni hali ya hatari sana.
 
Dada huku unatafuta nini?
Ungependa ukatafunwe wewe? Mbona wivu tu dadangu?
 

USIJE KUMUONEA WIVU MWANAMKE MKUU NI MWIKO KABISA..!!!vipi unataka utafunwe wewe??
 

Lakini kipindi hicho naye alikuwa mwananchi kwenye chaka la simba
 
Mada iliandikwa kabla maboresho ya kanuni kubadilishwa na wala hakukosea kama unavyojitapa humu.

Manara yeye ndiye aliyewaingiza chaka utopolo kwa kudai eti yanga itaanzia hatua ya kwanza kwa kigezo kitu ambacho hakikuwa sahihi.

Kama kanuni za msimu uliopita zingelitumika msimu huu wa mashindano ni kwamba yanga angeanzia hapo alipo leo na SIMBA SC angeanzia kwa wakubwa wenzie.
 
Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote
 
Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote
Mbona kombe la shirikisho azam fc hawajaanzia raundi ya awali kama ilivyo kwa GEITA FC? Na hujiulizi ni kwa nini AL AHLY, WYDAD, MAZEMBE, SUNDOWN
Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote
kama kanuni ni hiyo hiyo kwa nini hazikuchukuliwa zile timu 10
Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote
jiulize ilikuwaje msimu uliopita ni kwa nini timu 10 zilianzia raundi ya kwanza na msimu huu ni timu 6 pekee ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…