Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwa hiyo OKW BOBAN SUNZU ni kichaa?Kwani si hata kichaa anaweza kuwa Platinum member?
Hata wewe ukitaka kuwa Platinum member mbona rahisi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo OKW BOBAN SUNZU ni kichaa?Kwani si hata kichaa anaweza kuwa Platinum member?
Hata wewe ukitaka kuwa Platinum member mbona rahisi tu?
Kwa tabia za washabiki wa Yanga za kulialia,kuzomeazomea na kubwekabweka Luc Eymael alikuwa sahihi kabisa kuwafananisha na nyani na mbwa,namuunga mkono.Luc Eymael yule ni kocha mbaguzi na alitoa kauli ya kibaguzi ambayo uongozi wenye akili wa Yanga ulimtimua na aliishia kufungiwa kwa kauli zake za kibaguzi. Kuita watu weusi nyani ni jambo lakibaguzi kwenye soka..
Nilidhani Adeni Rage alisema Kwa bahati mbaya kumbe alidhamiria
Swadaktaaa !!!!Hakuna tofauti basi ,hata hivo kocha Lucy alipigilia msumari kwa Kuwaita wapumbavu na manyani
Yanga ina washabiki wengi majuha sana.Simba ina mashabiki wengi wajinga Sana na wabishi
makolo wafanye kumjengea mnara yule mzee kwa maono yakeAden Rage alimaliza kila kitu mkuu. Huwezi kutofautisha umbumbumbu na Simba s.c
Wewe wasema.Kwa hiyo OKW BOBAN SUNZU ni kichaa?
we acha tu watu wanatafunwa sana kuna boss mwingine kwenye team kubwa anawatafuna wanaume kabisa na kuwapangia majumba sehemu za bei ghali wengine anawasafirisha ma holiday huko duniani na kwenye ma viwanja makubwa kuonana na wachezaji wakubwaAo jamaa ni watu wanao penda ukubwa na kiki kama zilivyo tabia za CEO wao, matokeo yake mtu kapewa cheo kisicho na kichwa Wala miguu wajanja wanaenda ku mtafuna wajinga wanashangilia.
Sasa hii mambo ya kupenda Umaarufu bila vigezo stahiki wanaumia na wataendelea kuumia wengi.
Mimi sijasema, bali nimeulizaWewe wasema.
Kolo pro maxMnasahau kwamba hata Manara alitwambia sisi Yanga kwa ukubwa wetu na kwakuwa sisi ndiyo mabingwa wa nchi tutaanzia raundi ya kwanza huku simba akianzia hatua ya awali?
Kwakuwa akili zetu ziko kama alivyowahi kusema mwenyewe tulimshangiliaView attachment 2366512
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ukweli kutoka moyoni , mimi siyo kolo mimi ni topoloKolo pro max
Watu weusi au watu wa utopolo ndio hao akili kama nyani?Luc Eymael yule ni kocha mbaguzi na alitoa kauli ya kibaguzi ambayo uongozi wenye akili wa Yanga ulimtimua na aliishia kufungiwa kwa kauli zake za kibaguzi. Kuita watu weusi nyani ni jambo lakibaguzi kwenye soka..
Nilidhani Adeni Rage alisema Kwa bahati mbaya kumbe alidhamiria
Dada huku unatafuta nini?Ao jamaa ni watu wanao penda ukubwa na kiki kama zilivyo tabia za CEO wao, matokeo yake mtu kapewa cheo kisicho na kichwa Wala miguu wajanja wanaenda ku mtafuna wajinga wanashangilia.
Sasa hii mambo ya kupenda Umaarufu bila vigezo stahiki wanaumia na wataendelea kuumia wengi.
Hawa utopolo wana vinyesi kwenye chupi zao"Si mimi niliyesema alisema msemaji wenu manara a.k.a mlete mdhungu poriNdiyo Maana huwa sipendi kubishana na Wana yangaView attachment 2366516View attachment 2366517
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ao jamaa ni watu wanao penda ukubwa na kiki kama zilivyo tabia za CEO wao, matokeo yake mtu kapewa cheo kisicho na kichwa Wala miguu wajanja wanaenda ku mtafuna wajinga wanashangilia.
Sasa hii mambo ya kupenda Umaarufu bila vigezo stahiki wanaumia na wataendelea kuumia wengi.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli iliyotolewa na msemaji wa timu ya Simba kipindi hicho akiikejeli Yanga na kauli iliyotolewa na ndugu Adeni Rage ambae alikiwa kiongozi wa juu zaidi wa Simba Tena aliitoa kauli hiyo ndani ya mkutano mkuu wa klabu.. km umeshindwa kutofautisha hayo mambo basi wewe utakuwa ni zaidi ya mbumbumbu
Anatamani kupita njia anazopitia Barbra.USIJE KUMUONEA WIVU MWANAMKE MKUU NI MWIKO KABISA..!!!vipi unataka utafunwe wewe??
Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yoteMada iliandikwa kabla maboresho ya kanuni kubadilishwa na wala hakukosea kama unavyojitapa humu.
Manara yeye ndiye aliyewaingiza chaka utopolo kwa kudai eti yanga itaanzia hatua ya kwanza kwa kigezo kitu ambacho hakikuwa sahihi.
Kama kanuni za msimu uliopita zingelitumika msimu huu wa mashindano ni kwamba yanga angeanzia hapo alipo leo na SIMBA SC angeanzia kwa wakubwa wenzie.
Mbona kombe la shirikisho azam fc hawajaanzia raundi ya awali kama ilivyo kwa GEITA FC? Na hujiulizi ni kwa nini AL AHLY, WYDAD, MAZEMBE, SUNDOWNHakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote
kama kanuni ni hiyo hiyo kwa nini hazikuchukuliwa zile timu 10Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote
jiulize ilikuwaje msimu uliopita ni kwa nini timu 10 zilianzia raundi ya kwanza na msimu huu ni timu 6 pekee ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza!Hakuna maboresho ya kanuni. Kanuni ni ile ile ya miaka yote