Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ni dr wa mifugo ase huwa ananipa hasira sanaHuyu ameenda chuo, hajasoma
KabisaKusoma sio kuelimika
Sawa bas aonekane anakitu anataka kufanya tujueMtu hana muda wa kuajiriwa, unataka ulazimishe afanane na wewe
Ni shida ase kichwa kinaumaCV ndiyo nini?
Kaamua kuwa mkweli unamkasirikia. Kama ulikuwa unampa akopi na kuhariri ya kwako, Sasa anataka awe na ya kwake.
SanaLidogo letu miyeyusho
H-inaleta shida sana kwenye kiswahili. Iyo hiyo. Ata hata. Vinginevyo usichoke kumsaidia nduguyoNina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Usilazimishe kuwa mtu mwingine. Yeye ni yeye na wewe ni wewe.Sawa bas aonekane anakitu anataka kufanya tujue
Ata ashapewa mchongo kaishia kuharibuSasa mkuu kama ni Dr wa mifugo kwanini unamtumia kila mwaka CV
Mjengee banda la kuku huyo
Naachana nae now hajitambuiUsilazimishe kuwa mtu mwingine. Yeye ni yeye na wewe ni wewe.
MhH-inaleta shida sana kwenye kiswahili. Iyo hiyo. Ata hata. Vinginevyo usichoke kumsaidia nduguyo
Wewe ndio unamjua zaidi, hebu tuambie anapenda nini au anataka nini ajitegemee?Ata ashapewa mchongo kaishia kuharibu
Sawa ila hana muitikio sijui anataka nini kwenye haya maishaCv pia huchange kila wakati kulingana na job descriptions na hitaji la employer. Usisahau kumkumbusha hili.