Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

Wewe ndio unamjua zaidi, hebu tuambie anapenda nini au anataka nini ajitegemee?
Ameoa au gf?
Anaishi na nani
Kumhukumu inataka majibu mengi sana boss ila namuombea tu
Kwani usimchoke mtu wako
Kitu anapenda ni kukaa mwenywe tu

Yupo na gf nishamktaza huyu kigf wake ni malaya sana

Yupo home na wazee
 
Sawa ila hana muitikio sijui anataka nini kwenye haya maisha
Sio yeye tu kuna vijana wengi Sana graduates hawafahamu vitu mhimu tena basic kama kuandaa CV, matumizi basic ya kompyuta na packages zake kama Ms package n.k. Usimkatie tamaa mjenge na umsaidie kujua vitu undugu ni gharama na gharama zenyewe ndio hizo kusaidiana.
 
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Mpididy akili zimkae sawa
 
Muuze migodini awe kibarua au mbadilishe na debe la mbege mnywe mfurahi.
 
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Pole sana kaka hata usiwe na mawazo ...

Mimi nilikua napata tabu kama wewe maana hata vyeti alikua hajachukua nilitumia nguvu kubwa mpaka fimbo ila sasa yupo vizuri,

Jitaahidi um' elekeze na panapo bidi usimpe support yoyote kifedha wala mahali pa kukaa atapata akili.
 
Sio yeye tu kuna vijana wengi Sana graduates hawafahamu vitu mhimu tena basic kama kuandaa CV, matumizi basic ya kompyuta na packages zake kama Ms package n.k. Usimkatie tamaa mjenge na umsaidie kujua vitu undugu ni gharama na gharama zenyewe ndio hizo kusaidiana.
Inakatisha tamaa mm kipnd nipo chuo mwaka wa pili lctr wetu alitoa agizo kila mtu aandae cv ilikuwa kama assgmnt ukikosea unarudia mpka namaliza najua kuandaa cv vzr sasa how comes kwa yeye kwamba chuo hskikuwafundisha cv
 
Pole sana kaka hata usiwe na mawazo ...

Mimi nilikua napata tabu kama wewe maana hata vyeti alikua hajachukua nilitumia nguvu kubwa mpaka fimbo ila sasa yupo vizuri,

Jitaahidi um' elekeze na panapo bidi usimpe support yoyote kifedha wala mahali pa kukaa atapata akili.
Now nisha muacha kidg mpaka akil imkae sawa
 
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Yupo sahihi, sasa huyo ulitaraji awe na CV? Are you serius kweli?
 
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Mkuu vijana wengi ndivyo walivyo. Kuna mdada fulani aliniomba nimuunge na watu wawili waliosoma au wenye experience ya prograamming na wanaweza kuonyesha hilo kwenye cv zao.
Nikatafuta vijana nikawambia waandae cv. Vijana wenyewe siwafahamu ila nawaonaga kwenye group fulani wakisema wao ni wahitimu wanapiga programming.
Wakanitumia cv hazionyeshi wao kama ni programmers. Nikawambia mdada anataka uonyeshe kwenye cv, lakini wakawa hawaelewi.
Mwisho nikawatumia wote cv yangu ambayo haihusiani na mambo hayo ila tu kuwaonyesha jinsi inavyoonyesha experience nliyo nayo.
Baada ya hapo hakuna aaliyeandika wakawa wanasema kuwa mdada anazingua kama ana kazi awaite otherwise mzinguaji tu.
Mwisho mdada nikamuunga na jamaa fulani mkenya na akaweza mpata programmer mwingine wakawa wawili akafanya nao kazi mpaka leo wanafanya wote kazi toka mwezi wa pili.
 
Back
Top Bottom