Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

Ni kipenzi cha wazazi wako. Wanaita mtoto wa kustaafu.
Sifa zao.
1. Huwa wazee wanawapata baada ya kujipata au baada ya kutoka masomonj haswa hawa wenye elimu.
2. Waweza kuta ni mtoto pendwa au kutokana na jinsi yake kuwa peke yake au kuugua kwa.muda meefj alivyokuwa mtoto so alivyopnaa alionekana kama dhahabu.

Cha msingi ewwe dili na hamsini zako. Baba na mama yake wapo
Ase ujakosea
 
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Kwann usiseme ni wewe tu kuna haja gani ya kudanganya watu ni mdogo wako wakati ni wewe muhusika

Funguka usaidiwe
 
Wa kwenu kajiongeza
Ni mfumo wa maisha wanaoandaa wazazi
Baba alitufundisha maisha ya uhalisia
Mimi alinisafirisha nje ya nchi nikiwa na miaka 19 tu
Na kila leo nawaombea Dua wazazi wangu kwa kutufundisha namna ya kujitegemea

Niliingia nchi nisiyojua mtu ila jamaa walinisaidia nikajitegemea baada ya miaka 2 tu
Kwa hiyo ukiwaandaa wanao vizuri basi lazima watoboe
 
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Hawa ndio wale kenge wasiosikia mpaka damu itoke sikioni,
Chuo unashindwa kuandaa cv from start,haya editing nayo
Sasa shule kaenda kufanya nini
 
Elimu yetu na Africa tunafundishwa kuwa wategemezi na hatusanuki,ni rahisi sana kijana wa std 7 kuwa tajiri kuliko wa chuo,
Elimu ni kufuli la maisha na sio funguo,haimfungui mtu badala yake inamfungia mtu kwenye utegemezi,
Lecturers wenyewe wanaweza kumdhihaki mwanafunzi kwa kusema utaajiriwa na nani wewe hivi ulivyo,mentality ya kitumwa
Serikali iliangalie hili tunahitaji elimu ya vitendo itawale
 
Eti utaajiliwa na nani ase
 
Kuna mwamba nilimwambia anitumie CV yake. Inaelekea ali edit ya mtu na alicho edit ni jina tu. Vilivyobaki vyote aliacha kama vilivyo ikiwemo mwaka wa kuzaliwa (mmiliki wa CV alizaliwa 1985, dogo wa 1998) na jinsia, mwenye CV alikuwa wa kike na dogo wa kiume ila kwa uvivu wa fikra aliacha hivyo hivyo Female.

Baadhi ya watu ni naturally stupid, hata ukiwashika mkono bado watadondoka.
Huyu kazidii duuh
 
Back
Top Bottom