Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Kuna mwamba nilimwambia anitumie CV yake. Inaelekea ali edit ya mtu na alicho edit ni jina tu. Vilivyobaki vyote aliacha kama vilivyo ikiwemo mwaka wa kuzaliwa (mmiliki wa CV alizaliwa 1985, dogo wa 1998) na jinsia, mwenye CV alikuwa wa kike na dogo wa kiume ila kwa uvivu wa fikra aliacha hivyo hivyo Female.Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Baadhi ya watu ni naturally stupid, hata ukiwashika mkono bado watadondoka.