Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
Kitu anapenda ni kukaa mwenywe tuWewe ndio unamjua zaidi, hebu tuambie anapenda nini au anataka nini ajitegemee?
Ameoa au gf?
Anaishi na nani
Kumhukumu inataka majibu mengi sana boss ila namuombea tu
Kwani usimchoke mtu wako
Sio yeye tu kuna vijana wengi Sana graduates hawafahamu vitu mhimu tena basic kama kuandaa CV, matumizi basic ya kompyuta na packages zake kama Ms package n.k. Usimkatie tamaa mjenge na umsaidie kujua vitu undugu ni gharama na gharama zenyewe ndio hizo kusaidiana.Sawa ila hana muitikio sijui anataka nini kwenye haya maisha
Mtoto wa mama ama?Kitu anapenda ni kukaa mwenywe tu
Yupo na gf nishamktaza huyu kigf wake ni malaya sana
Yupo home na wazee
KweliMtu hana muda wa kuajiriwa, unataka ulazimishe afanane na wewe
Mpididy akili zimkae sawaNina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Muuze migodini awe kibarua au mbadilishe na debe la mbege mnywe mfurahi.Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Pole sana kaka hata usiwe na mawazo ...Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Astaghifilullah!Mpididy akili zimkae sawa
Ndio hivyo afanye tu hayoAstaghifilullah!
NB:Mpididi na mpipidiwa wote ni mashoga.
Inakatisha tamaa mm kipnd nipo chuo mwaka wa pili lctr wetu alitoa agizo kila mtu aandae cv ilikuwa kama assgmnt ukikosea unarudia mpka namaliza najua kuandaa cv vzr sasa how comes kwa yeye kwamba chuo hskikuwafundisha cvSio yeye tu kuna vijana wengi Sana graduates hawafahamu vitu mhimu tena basic kama kuandaa CV, matumizi basic ya kompyuta na packages zake kama Ms package n.k. Usimkatie tamaa mjenge na umsaidie kujua vitu undugu ni gharama na gharama zenyewe ndio hizo kusaidiana.
Ni last Born mkuuMtoto wa mama ama?
Anahitaji msaada na wa kumsaidia ni baba yake kumuondoa kwenye comfort zone la sivyo atakuwa hivyo maishani na atawasumbua baadae
Maisha haya mafupi sana, tafakari sana
AseMpididy akili zimkae sawa
Ahaha noma sanaMuuze migodini awe kibarua au mbadilishe na debe la mbege mnywe mfurahi.
Now nisha muacha kidg mpaka akil imkae sawaPole sana kaka hata usiwe na mawazo ...
Mimi nilikua napata tabu kama wewe maana hata vyeti alikua hajachukua nilitumia nguvu kubwa mpaka fimbo ila sasa yupo vizuri,
Jitaahidi um' elekeze na panapo bidi usimpe support yoyote kifedha wala mahali pa kukaa atapata akili.
How?Unampaje CV yako aedit?wewe ndo mwenye makosa.yeye yuko sahihi
Yupo sahihi, sasa huyo ulitaraji awe na CV? Are you serius kweli?Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
Mkuu vijana wengi ndivyo walivyo. Kuna mdada fulani aliniomba nimuunge na watu wawili waliosoma au wenye experience ya prograamming na wanaweza kuonyesha hilo kwenye cv zao.Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image