Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

Duh ase inasikitisha
 
Duh ase inasikitisha
Sometimes vijana sisi wenyewe hatupendi kuhangaika tunataka vitu vije vyenyewe. Kuna mtu nilikuwa namfundisha vitu fulani, kisha namuunga na clients wangu, yeye badala atie juhudi, ananiambia kazi basi utakuwa unanifanyia wewe. Yani nikabaki nikufundishe, useme ni vigumu usitie juhudi, clients unawataka, kazi nifanye mwenyewe ila ela uchukue wewe.
Basi, mimi nikapiga kimya, ikawa kila akiniona anauliza sasa bro vipi mbona hujaniunga na client bro njaa kali.
 
Ahaha kwahy napaswa kumuelekezaje?
Kamwelekeze kama rafiki, usimwelekeze kanakwamba ndo umemzidi Kila kitu.
Kumbuka hakuna binadamu anayetaka kuoneshwa chembe ya dharau na mara nyingi mtu anaweza kuukataa ushauri unaompa hata kama ni nzuri kisa unamwelekeza kwa kumfokoea au kumwonesha element ya dharau.
 
sasa ww mtoa mada ndo mwenye makosa eti unamtumia CV yako kama sample ili afanye editing na dogo akili nzito hakuelewi kwani hizo CV za kuandika mtandaoni wengi weupe hizo laptop zao wanazitumia kucheza magame tu.. sasa ww fanya kinyume chake badala ya kumtumia CV yako ww chukua taarifa zake kisha mtengenezee CV yenye kumsoma taarifa zake dogo mwenyewe kisha mtumie hiyo achana na hiyo yako..
 
Nina hofu elimu ya sasa ina ujinga mwingi.
Yawezekana hawafundishwi hata kuandika barua rasmi, CV au hata risala.
Vijana kazi yao kukopy vitu mtandaoni tu. Hopeless
Kabisa juzi mtoto wa boss wangu namtambulisha dog mtoto wa dada angu ananiambia uyo ni binamu yako nikamuuliza mtoto wa kaka yako mkubwa akizaliwa atakuitaje ananiambia ataniita kaka duh nilichoka na ni form 1 uyo
 
Wavivu hawana ile kiu ya maendeleo
 
Ujue mara ya kwaza nilisha muelekeza nikampa na mfano kabisa marahii ananiambia hana cv kweli yupo serious
 
Atajua lini kila kitu afanyiwe hiyo yangu nimempa kama kutoa lawama tu aone mfano inavyo andikwa mm sifugi upumbavu
 
Huko vyuoni wanakaririshwa tuu, ili wajibu mitihani wafauru! Hawafundishwi uhalisia wa maisha na jinsi ya kutumia elimu ya kwenye makaratasi iwe practical. Mwambie tuu ukweli wa maisha achangamke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…