Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

Ase ujakosea
 
Kwann usiseme ni wewe tu kuna haja gani ya kudanganya watu ni mdogo wako wakati ni wewe muhusika

Funguka usaidiwe
 
Unauza ng'ombe unapeleka ng'ombe chuo ije kuwa doctor wa ng'ombe ndio maana ina akili za king'ombe ng'ombe
 
Wa kwenu kajiongeza
Ni mfumo wa maisha wanaoandaa wazazi
Baba alitufundisha maisha ya uhalisia
Mimi alinisafirisha nje ya nchi nikiwa na miaka 19 tu
Na kila leo nawaombea Dua wazazi wangu kwa kutufundisha namna ya kujitegemea

Niliingia nchi nisiyojua mtu ila jamaa walinisaidia nikajitegemea baada ya miaka 2 tu
Kwa hiyo ukiwaandaa wanao vizuri basi lazima watoboe
 
Hawa ndio wale kenge wasiosikia mpaka damu itoke sikioni,
Chuo unashindwa kuandaa cv from start,haya editing nayo
Sasa shule kaenda kufanya nini
 
Elimu yetu na Africa tunafundishwa kuwa wategemezi na hatusanuki,ni rahisi sana kijana wa std 7 kuwa tajiri kuliko wa chuo,
Elimu ni kufuli la maisha na sio funguo,haimfungui mtu badala yake inamfungia mtu kwenye utegemezi,
Lecturers wenyewe wanaweza kumdhihaki mwanafunzi kwa kusema utaajiriwa na nani wewe hivi ulivyo,mentality ya kitumwa
Serikali iliangalie hili tunahitaji elimu ya vitendo itawale
 
Eti utaajiliwa na nani ase
 
Dah! ndo umekuja kunisema huku? Braza una gubu kinoma.
 
Huyu kazidii duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…