Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Hao wapinzani nao ni wasakatonge wakipewa watapiga tena sana.. kitu mwafrika ni kazi sana. Lkn kwenye issue ya corona tusiingize uchama wala udini cz corona haina kadi ya chama.
 
Atakua anatania Tu hawezi kuwa sirius kwa akili yake ya kawaida hana tofauti na mwanafunzi anaetamani corona ije ili Shule zifungwe
Sahihi kabisa,
Nashangaa kwa mtu kama Pasco kuandika thread ndeeefu kwa ajili ya hiyo comment moja,
Halafu anapaswa ajue humu jf kuna watoto wengi sana wameingia kupitia facebook, utawajua kwa mada zao na comments zao, ikifanyika censor ya umri humu utachoka.
Hata watu wazima wapo pia ila ni 'watu wazima kiyambo' utawajua kwa mada zao na comments zao.
 
Tulipofikia wacha ije we all be wiped out and have a new creation, labda mbaya wangu anaweza ondoka. kwa sasa maisha hayana maana tanzania
Usiombee haya mkuu, kama sote tutakuwa "wiped out" hayo maisha ya maana ndio tutayapata?

Huu ugonjwa ni adui wetu sote.
 
Kama eti kiongozi lisilo lizalendo wa NCHI yake.
Naye anataka apewe NCHI bora tu tubaki kama tulivyo. T's okay sasa kama anataka jamii kubwa ya wananchi ipate madhala,
Mara kwenda kuchongea Marekani , Mara Nchi ikose misaada hajui nayeye yupo humo ndani.

Mm si CCM lakini kuongoza Nchi syo kuingoza familia yako. Bora tuongozwe na CCM Kuliko kiongozi asiye mzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma Comments kutoka mwanzo hadi hapa, nilichokiona kinasikitisha Sana.
Jana nilisema JF tuna tatizo mahala fulani, sasa hebu angalieni kilichojadiliwa kutoka mwanzo hadi hapa utagundua kuwa kuna seheme tumeteleza sio siri.
Watu serious hatuwezi tukawa hivi.
 
Umeelewa kilichoandikwa kwanza!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo Mana kimeandikwa.
Wote mnasaka ugali hamna lolote.
Tumeona mipinzani kibao imedanganyika .
Mm siwaamini Wapinzani hasa Chadema.
Kwanza wote wapo kimaslai.
Pili wanauchu wa madaraka wote.
.
Nataka mtu ataje mpinzani Mmoja ambaye hayuko kimaslai ,
Na anafikiri anaweza kuwa Rais bora kuliko wa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza unafiki bro.Yako mambo mengi ya ovyo sana yanafanyika nchi hii lakini sijaona ukikemea au kutoa kauli yoyote zaidi yakuandika porojo zako zisizo na impact yoyote kwa jamii na Taifa.

Pamoja na kwamba alichoandika uyo bwana sio sahihi lakini naona wewe lengo lako sio kuonyesha usahihi bali unataka uonyeshe vile uyo bwana alivyo mbaya kwasababu tu ni shabiki wa chama cha siasa tofauti na unachoshabikia wewe.

Kama unaamua kua mzalendo kua mzalendo kweli kweli tofauti na hapo ni unafiki kama wanafiki wengine kwakujifanya mengine unayaona mengine huyaoni.
 
tindo kwa hiyi hata wewe kwa heshima yako unaomba korina ije tuangamie?

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda ni uelewa mdogo tu wa mambo, hivi Corona kwenye nchi hii itakuja kwa kuombwa na mtu fulani? Niliyemquote ameonyesha wanacdm wakifa sio tatizo, bali tatizo ni pale kitisho cha kufa wengi ikiwemo wanaccm ndio itakuwa shida.

Kwenye hizo nchi ambazo Corona imeshamiri imeingia baada ya kuombwa na wananchi wa nchi zao? Huu mjadala wa Paskali unaongozwa na mihemko, lakini hauna lolote la maana.
 
a comment from an idiot, kwa hiyo mbaya wako akiondoka wewe unaona utachaguliwa kubaki au mamako, babako, na ndugu zako wao watabaki kwa xbu utakuja kuchagua mbaya wako tu?
Tulipofikia wacha ije we all be wiped out and have a new creation, labda mbaya wangu anaweza ondoka. kwa sasa maisha hayana maana tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa,
Nashangaa kwa mtu kama Pasco kuandika thread ndeeefu kwa ajili ya hiyo comment moja,
Halafu anapaswa ajue humu jf kuna watoto wengi sana wameingia kupitia facebook, utawajua kwa mada zao na comments zao, ikifanyika censor ya umri humu utachoka.
Hata watu wazima wapo pia ila ni 'watu wazima kiyambo' utawajua kwa mada zao na comments zao.
Kama facebook kwako ni kipimo cha ujinga.. Basi wewe ndio mjinga kuliko.
 
Back
Top Bottom