Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Unyama umezidi na haya ndio matokeo yake.
Siku unyama ukizidi kweli basi hatutaogopa polisi wala kutumia utambulisho feki humu maana hatutakuwa na cha kuogopa kuficha kujulikana,tutaonesha kuchoshwa kwetu na huo unyama tukiwa mitaani huko na sio nyuma ya keyboard hali ya kuwa wengine wako nje ya nchi kabisa.
 
We unazani huyo alietuma hyo nyuzi yupo tofauti na viongozi wa chadema! Hakiri yahuyo unaemshangaa ndo hakiri ya wanachadema wte.
 
Kuna watu hapa wanadhani kuwa Corona ikija hapa bongo serikali ndo itaathirika tena serikali hizi za kiafrika ambazo hata hazitetei wananchi wao yani nasemaje hakutakuwa na wa kupona hapo.
Ko ndugu zangu acheni mambo ya kuombea mambo mabaya eti kisa kuna jambo hupendezwi nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hee! Hili mnaliogopa kwakuwa mnaona litawapata ninyi na familia zenu pia!!
Lakini wengine wanapotendewa maovu ninyi mnafurahi tu!
KUMBE MABAYA YANAUMA EEH?
Bandiko la huyo jamaa limekuwa kipimo Cha kujua kumbe nanyi mnaogopa maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du!

Umekosea kitu kimoja tu, ningeshangilia pamoja nawe data zako hizi.

What is your source?

Surely you could not generate all this single handedly, could you?

Alichofanya huyo jamaa ni kuleta data, lakini haziingii akilini kabisa.
 
No, lkn afadhali ije maana Tanzania tulipo0fikia ngoja ije tupotee, labda wabaya wetu/watesi wetu Inshallah wanaweza kukumbwa
Kabla ya kuitaka corona(ambayo inaweza kuwakuchukua hadi wapendwa wako) ni nguvu gani uliyotumia hapo kabla katika kupambana na wabaya wako?
 
Atakua anatania Tu hawezi kuwa sirius kwa akili yake ya kawaida hana tofauti na mwanafunzi anaetamani corona ije ili Shule zifungwe
Kama kusema ingalikuwa ni maombi basi ulimwengu haungelikuwa salama

Kama kusema ingalikuwa ni maombi,marekani isingalikuwepo.

Kama kusema ingalikuwa ni maombi, magufuli asingalimaliza miaka3 kwenye urais.
Fikirini kwanza kabla ya kuleta mabadiko humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unazani huyo alietuma hyo nyuzi yupo tofauti na viongozi wa chadema! Hakiri yahuyo unaemshangaa ndo hakiri ya wanachadema wte.

Nilikuambia jana, umetumwa humu jukwaani kutetea ccm/serekali, lakini una tatizo kubwa la kiuandishi hasa matumizi ya herufi H. Sio vibaya hao wanaokutuma wakupige msasa wa kuandika, au umtumie Polepole ahakiki propaganda yako mfu kabla ya kuitapika humu ndani. Pia kama huoni aibu rudi shule ukajifunze kuandika, tena uzuri sasa hivi hamna kisingizio maana elimu ni bure.
 
Kabla ya kuitaka corona(ambayo inaweza kuwakuchukua hadi wapendwa wako) ni nguvu gani uliyotumia hapo kabla katika kupambana na wabaya wako?
Wawakilishi wangu ndiyo nguvu yangu. sasa hao wanapotezwa na Jiwe. hata Jiwe anapotza wapendwa wangu kama itakavyokuwa Corona, hawana tofauti na Jiwe
 
Dah ninachosikitika ni kuwa, hawajui what next baada ya Corona kutua labda yeye atakuwa wa kwanza kufa na familia yake.
Au atakuwa wa Kwanza kudhurika akiomba msaada wa serikali.

Kitu kimoja nimekigundua jamii ya watu wanaoiombea serikali hv haifiki hata 2M.

Tumeona Mawaziri, wanamichezo, watu Maharufu na matajiri wote wameshindwa kuepuka Corona.
Tumeona hadi trump ka tweets Kuwa American waombe kuinusuru Nchi yao.

Mm nahisi anayeomba hivyo Mungu atamjibu na itaanza kwake na familia yake na watoto wake. Kwa sababu atakuwa zaid ya shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unazani huyo alietuma hyo nyuzi yupo tofauti na viongozi wa chadema! Hakiri yahuyo unaemshangaa ndo hakiri ya wanachadema wte.
Hivi Wewe mtoto una akili Sawa Sawa ??
Unawenzaje kuandika Hakiri badala ya akili Mbona Ni Mpumbavu Sana

Ndio Mataga Mlivyo hivyo?
Akili yako ni Sawa na wanasisiemu wenzako
 
Back
Top Bottom