sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
AFADHALI MWENZANGU UMELIONASio maombi mazuri kabisa ila sisiemu inachofanya ina tofauti gani na corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AFADHALI MWENZANGU UMELIONASio maombi mazuri kabisa ila sisiemu inachofanya ina tofauti gani na corona
Sent using Jamii Forums mobile app
No, lkn afadhali ije maana Tanzania tulipo0fikia ngoja ije tupotee, labda wabaya wetu/watesi wetu Inshallah wanaweza kukumbwaKwahiyo two wrongs justify rights?
Kwamba kwakuwa watu wanafanya mabaya basi tuombee mabaya yatupate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku unyama ukizidi kweli basi hatutaogopa polisi wala kutumia utambulisho feki humu maana hatutakuwa na cha kuogopa kuficha kujulikana,tutaonesha kuchoshwa kwetu na huo unyama tukiwa mitaani huko na sio nyuma ya keyboard hali ya kuwa wengine wako nje ya nchi kabisa.Unyama umezidi na haya ndio matokeo yake.
Hee! Hili mnaliogopa kwakuwa mnaona litawapata ninyi na familia zenu pia!!Kuna watu hapa wanadhani kuwa Corona ikija hapa bongo serikali ndo itaathirika tena serikali hizi za kiafrika ambazo hata hazitetei wananchi wao yani nasemaje hakutakuwa na wa kupona hapo.
Ko ndugu zangu acheni mambo ya kuombea mambo mabaya eti kisa kuna jambo hupendezwi nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Du!
Umekosea kitu kimoja tu, ningeshangilia pamoja nawe data zako hizi.
What is your source?
Surely you could not generate all this single handedly, could you?
Kabla ya kuitaka corona(ambayo inaweza kuwakuchukua hadi wapendwa wako) ni nguvu gani uliyotumia hapo kabla katika kupambana na wabaya wako?No, lkn afadhali ije maana Tanzania tulipo0fikia ngoja ije tupotee, labda wabaya wetu/watesi wetu Inshallah wanaweza kukumbwa
Katika watu masnitch ni uyo mjubaNajua P Mayalla una lengo la kuwa expose wengi zaidi. Hujaacha kile ulichomfanyia Kabendera.
Lengo lako ni comments kama hizo zitiririke hapa upeleke file huko.
Una roho mbaya sana, ila watu tu hawakujui.
Kama kusema ingalikuwa ni maombi basi ulimwengu haungelikuwa salamaAtakua anatania Tu hawezi kuwa sirius kwa akili yake ya kawaida hana tofauti na mwanafunzi anaetamani corona ije ili Shule zifungwe
Hapo uko sahihi kabisa mkuu kongolecorona, you are most welcome to Tanzania...na uyashambulie ma-ccm uwezavyo.
haiwezekani waifanye hii nchi ni mali yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unazani huyo alietuma hyo nyuzi yupo tofauti na viongozi wa chadema! Hakiri yahuyo unaemshangaa ndo hakiri ya wanachadema wte.
Wawakilishi wangu ndiyo nguvu yangu. sasa hao wanapotezwa na Jiwe. hata Jiwe anapotza wapendwa wangu kama itakavyokuwa Corona, hawana tofauti na JiweKabla ya kuitaka corona(ambayo inaweza kuwakuchukua hadi wapendwa wako) ni nguvu gani uliyotumia hapo kabla katika kupambana na wabaya wako?
Hivi Wewe mtoto una akili Sawa Sawa ??We unazani huyo alietuma hyo nyuzi yupo tofauti na viongozi wa chadema! Hakiri yahuyo unaemshangaa ndo hakiri ya wanachadema wte.
Kwa username unayotumia matusi hayastahili kutoka kwako lakini wewe ndio kwanza unayaporomosha, Mungu akurehemu.Acha kuwa inferior mpuuzi wewe
Kabendera was exposed himself, tena kwa makosa sio ya kiuandishi
Acha ujinga