- Thread starter
- #41
Inaweza isikubaliwe.
Hapo nimekupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza isikubaliwe.
Huyo mashtaka yote yanamuhusu.habari wadau.
wataalamu wa sheria naomba majibu yenu.
JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200.
amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800.
wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela JUMA ata surrender hati yake ya mwanzo yenye sqm 1200 na atagawanya kiwanja chake ili AMINA apate hati yenye Sqm 400 alizouziwa na yeye JUMA apate hati mpya yenye sqm 800.
mauziano yakafanyika na JUMA akaenda kulipwa pesa zake na AMINA via BANK.
baada ya JUMA kupokea hela zake akamuahidi AMINA wataanza mchakato wa kugawanya hati wiki ijayo.
ghafla JUMA akasafiri kwenda kijijini kwao kwamba ana dharura ya kuuguza mgonjwa.
akakaa huko kijijini mwezi mzima na baada ya kurudi nyumbani kwake amegoma kutoa ushirikiano kwenye kugawanya hati hiyo.
AMINA akaamua kwenda kumfungulia shauri Baraza la Ardhi kata kwamba JUMA amegoma kukabidhi kiwanja alichokiuza na haeleweki sababu ni nini.
JUMA alivyoulizwa kwa nini hafanyi hivyo. anadai aliuza kwa bei ndogo na alikuwa na mapepo ndiyo yalimfanya auze. hivyo anatafuta hela kwa sasa akizipata atamrudishia AMINA hela zake.
baraza la ardhi kata limemuambia AMINA aende akadai haki yake mahakama za juu. Baraza limempa AMINA cheti cha kushindwa kusuluhisha mgogoro huo.
AMINA amechanganyikiwa akamfungulie kesi ya aina gani ? maana kila mtu anashauri kivyake
1. Je AMINA aende baraza la ardhi la wilaya ajkamfungulie kesi ya kudai ardhi aliyouziwa
2. Aende mahakama ya wilaya aende akamfungulie kesi ya madai kwa uvunjanji wa mkataba wa mauziano
3. Aende akamfungulie kesi ya jinai ?
ama aende mahakama gani na akamfungulie kesi ya aina gani ?
wanasheria ni vizuri mkatoa maoni yenu. mtu kama huyu kesi gani ni sahihi kumfungulia ?
Kesi ni jinai, huyo katenda wizi wa kuaminiwahabari wadau.

Sharia za Tanzania haziruhusu diwani kusimamia mauziano ya ardhi, huo mkataba ni batili1.Mkataba wake ulisimamiwa na diwani wa kata ya eneo ambao kiwanja lilipo
2. Kiwanja chake waliuziana bila hizo requeast kufanyika. Maana huyo juma hizo sqm 1200 alizipata baada ya kurithi kiwanja kilichopimwa na serikali. Kipo kwenye ramani ya mipango miji ya mwaka 1988. Na kina hati ya serikali
Sharia za Tanzania haziruhusu diwani kusimamia mauziano ya ardhi, huo mkataba ni batili
Lipia pesa kwa mpima ardhi usaidiweMkataba batili unapaswa ufunguliwe kesi gani ?
Aisee mwasibu, umeandika kitu cha maana Sana, hawa watu huwa hawataki kutushirikisha Land surveyors kwenye ununuzi wa ardhi, wakipata majanga ndio wanakumbuka umuhimu wa Land surveyors, na hapo unaweza kukuta diwani kamlipa 10% halafu mkataba wenyewe batiliWakati mwingine mwambie Amina asinunue mali kienyeji. Aende kwa mwanasheria waandike mtakaba na kupewa taratibu zote muhimu
Lipia pesa kwa mpima ardhi usaidiwe
Kujipatia Pesa kwa Udanganyifu (Kujipatia mali kwa udanganyifu)kesi ya jinai ungemsukumia kwa mbinu gani ?
hoja gani zingeigeuza hii kesi kuwa ya jinai
Wapima ardhi tunasoma sheria za ardhi zote,Mpima ardhi anahusika vipi kwenye mambo ya kisheria.
Hakuna mgogoro wowote wa kuhusu upimaji wa ardhi.
Pia manispaa zote zina idara za wapimaji ardhi. Kama ni mgogoro unaohusu upimaji. Manispaa wanasolve wenyewe
Aisee mwasibu, umeandika kitu cha maana Sana, hawa watu huwa hawataki kutushirikisha Land surveyors kwenye ununuzi wa ardhi, wakipata majanga ndio wanakumbuka umuhimu wa Land surveyors, na hapo unaweza kukuta diwani kamlipa 10% halafu mkataba wenyewe batili
Wapima ardhi tunasoma sheria za ardhi zote,
Kama ulikuwa unajua kuwa manispaa kuna idara ya upimaji ardhi kwa nini hamkwenda kwa wakati ili mfanye subdivision ya ardhi?
Na huo ushauri wa kimtaa ndiyo wenyewe huo, hukumu lazima iheshimiwe na kila mtu!!Hapo kikubwa cha kufanya ni Amina kuingia site na kuanza kuendeleza eneo lake......haya mambo ya sheria sijui transfer sijui nn yatampotezea muda, yaani afanye akalitwae eneo lake mazima mazima, then asikilizie huyo Juma anasemaje.....kama akienda mahakamani basi na huyo dada ataenda na makaratasi yake yaliyomfanya mpaka akalimiliki na kuliendeleza hilo eneo......N.B Huu ni ushauri wa kimtaa tu.
Mkataba siyo null and void ila ni unenforceable.Huwezi kuiuza registered land bila muhuri wa kamishna wa viapo. So, lazima kuwe na drafting ya affidavit iambatane na sale agreement. Diwani yeye siyo kamishna wa viapo. Kwa hiyo, hiyo contract is null na haikufuata Sheria.
Pili, hiyo request ikikataliwa? Huko mkataba upo kinyume cha Sheria. Kwa sababu labda hilo eneo lilitakiwa liwe medium density, wewe unaligeuza low density bila approval ni kosa.
Halafu unahitaji hati ya nini? Yaani Amina apewe hati ya Sqm 1200 wakati kanunua Sqm 400? Sijapata mantiki yake.
All in all, Kuna makosa mengi upande wa mnunuzi.
Kwa hiyo atarudishiwa tu hela zake, hiyo contract is inoperable.
Null and void.