Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika maisha?

Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika maisha?

Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Kila mtu anaweza kupata pesa kwa kubeti au kushinda michezo ya kubahatisha au urithi ila sio kila mtu anaweza kudumu na mafanikio anayedumu na mafanikio ndio mtu mwenye akili
 
Mtu mjinga hawezi kufanikiwa, Kila mtu unayemuona amefanikiwa ni Akili imetumika.

Hakuna Tajiri mjinga!

Ujinga ni chanzo kikuu cha umasikini.
 
Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Formula ya maisha na utajiri wamepewa watu wajinga. Hao ndio hutoboa kwenye maisha. Mwenye akili Huwa hatoboe anabakia na principle zake alizosoma chuoni lakini hatoboi
 
Back
Top Bottom