Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika maisha?

Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika maisha?

Formula ya maisha na utajiri wamepewa watu wajinga. Hao ndio hutoboa kwenye maisha. Mwenye akili Huwa hatoboe anabakia na principle zake alizosoma chuoni lakini hatoboi
Kama vile MO Dewji, Reginald Mengi, Bill Gates. Au sio mkuu??..
 
Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Ujinga ni nini ?

Ujinga ni kutokuwa na ufahamu kuhusu jambo fulani kwahio katika utafutaji wa kitu fulani kama mtu hana ufahamu wa kitu hicho basi hawezi kupata hicho kitu.., unless anatumia nyenzo fulani ambayo inaweza kumpatia hicho kitu (Nyenzo hio niite ni mtaji) na mtaji unaweza kuwa finance, charisma, connection, ujanja, wizi au trickery....

Pia kumbuka unless mtu ni mpumbavu ujinga huwa unafutwa na ufahamu...
 
Back
Top Bottom