Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Unajua maana ya neno ujinga?Sio kweli, kuna watu wajinga na watu wasio wajinga. Mfano Iddi Amin alikuwa mjinga na Nyerere alikuwa intelligent.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya neno ujinga?Sio kweli, kuna watu wajinga na watu wasio wajinga. Mfano Iddi Amin alikuwa mjinga na Nyerere alikuwa intelligent.
Kama vile MO Dewji, Reginald Mengi, Bill Gates. Au sio mkuu??..Formula ya maisha na utajiri wamepewa watu wajinga. Hao ndio hutoboa kwenye maisha. Mwenye akili Huwa hatoboe anabakia na principle zake alizosoma chuoni lakini hatoboi
Hardworking beats talent....confidence beats intelligence
Ujinga ni nini ?Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Na ndiyo wenye bahati hao.Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Mchagga fundi wa garage..Kimsingi kabisa anaweza, kwasababu ya bahati.
Bahati haichagui mtu wa kumnufaisha.
Si kuna mtu alikula 1b sportpesa? hapo si kabahatisha tu?