No - hiyo itakuwa ni Hasty Generalization.Kwa tafsiri hii,ina maana wale wote ambao hawajafanikiwa ni Wajinga?
Naomba ufafanuzi mkuu.
Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Ujinga ni hali ya kutokujua, kutokuelewa, au kutojua mambo muhimu ambayo yanahitaji ufahamu.tafsiri ya ujinga kwanza
Kama una IQ chini ya wastani au ndogo sana sidhani hata kama ukijifunza unaweza kuondokana na ujinga.Ujinga ni hali ya kutokujua, kutokuelewa, au kutojua mambo muhimu ambayo yanahitaji ufahamu.
Inahusisha kutokuwa na elimu, maarifa, au ufanisi katika kufanya maamuzi au kuchukua hatua kwa njia ya busara.
Ujinga unaweza pia kumaanisha kutokuwa na uwezo wa kujieleza au kutatua matatizo kwa njia ya akili.
Hata hivyo, ujinga si kitu cha kudumu; mtu anaweza kujifunza na kuboresha maarifa yake ili kuondokana na ujinga.
Ujinga upo wa aina nyingi na kila mtu ana ujinga wake,binafsi sioni kama ni sawa kufanya kua kipimo cha kufanikiwa kimaisha ( Yani kutumia kipimo kimoja tu) ndio akili,No - hiyo itakuwa ni Hasty Generalization.
Mtu unaweza ukawa very Intelligent na hujafanikiwa ila ukawa Mentality perfect, ukaweka malengo makubwa na kuongeza Nidhamu means siku1 utakuja kufanikiwa.
Mjinga anayezungumzwa hapa ni zwazwa, Mtu ambaye yuko Comfortable, Hana malengo, Anaishi ishi tu, Huyu kamwe haji kufanikiwa.
IQ kubwa haukufanyi ufanikiwe Ila EI kubwa .Kama una IQ chini ya wastani au ndogo sana sidhani hata kama ukijifunza unaweza kuondokana na ujinga.
Kama ujinga uko wa aina nyingi basi mtu mmoja anaweza kuwa na ujinga wa aina nyingi pia au hata aina zote kabisa.Ujinga upo wa aina nyingi na kila mtu ana ujinga wake,binafsi sioni kama ni sawa kufanya kua kipimoja cha kufanikiwa kimaisha ( Yani kutumia kipimo kimoja tu) ndio akili,
Unaweza ukawa umefanikiwa kimaisha ila ukawa unadhulumu mali za watu,unaua watu,unatapeli watu,hutendi haki na mengineyo,huu nao pia ni ujinga,
Mleta mada angetumia neno Mvivu badala ya Mjinga hapo ingeleta maana,
Kila Binadamu ana ujinga wake,nobody is perfect.
Inawezekana, pia inategemea na wakati, utawala, technologia, vipaumbele vya kiongozi wakati huo.Mtu mjinga sana anaweza kupata mafanikio makubwa katika jamii mfano kuwa tajiri au mtu mkubwa sana katika siasa, biashara na sanaa katika jamii?
Huyu sio BICHWA KOMWE - kweli?Inawezekana maana Kuna Binti alikuwa na 39 now 40 Hana mtoto Wala Nini kazi yake kutukana hovyo
Hapo sasa umechanganya vitu viwili na kutaka kuvifanya kiwe kiwe kitu kimoja.Kama una IQ chini ya wastani au ndogo sana sidhani hata kama ukijifunza unaweza kuondokana na ujinga.
Na ukubali pia kua hata kufanikiwa kimaisha sio kipimo cha kutokua mjinga pia,unaweza ukafanikiwa ila still na wewe ukawa una ujinga wako pia.Kama ujinga uko wa aina nyingi basi mtu mmoja anaweza kuwa na ujinga wa aina nyingi pia au hata aina zote kabisa.
Hapana, unachanganya mambo. Kotokujua jambo fulani hasa linalohusiana na taaluma sio ujinga au kuwa mjinga, ni kwamba hujui tu hilo jambo.Hapo sasa umechanganya vitu viwili na kutaka kuvifanya kiwe kiwe kitu kimoja.
Ujinga ni kutokujua au kutokuwa na maarifa katika maeneo fulani, Mfano mimi sijui kuendesha ndege ni Mjinga kwenye eneo hilo.
Mtoa maada hajataja ujinga kwenye eneo Specific, Amejenga hoja kupitia neno ujinga kiujumla.Ujinga upo wa aina nyingi na kila mtu ana ujinga wake,binafsi sioni kama ni sawa kufanya kua kipimo cha kufanikiwa kimaisha ( Yani kutumia kipimo kimoja tu) ndio akili,
Unaweza ukawa umefanikiwa kimaisha ila ukawa unadhulumu mali za watu,unaua watu,unatapeli watu,hutendi haki na mengineyo,huu nao pia ni ujinga,
Mleta mada angetumia neno Mvivu badala ya Mjinga hapo ingeleta maana,
Kila Binadamu ana ujinga wake,nobody is perfect.
Kama unakubali kua mleta mada hajataja ujinga kwenye eneo specific basi unatakiwa ukubaliane na ujinga utakaotajwa kwenye maeneo mengine pia,Mtoa maada hajataja ujinga kwenye eneo specific , Amejenga hoja kupitia neno ujinga kiujumla.
Ujinga ni kutokujua au kutokuwa na maarifa katika maeneo fulani.
Kama umefanikiwa katika eneo fulani inamaanisha ulipata maarifa kwenye eneo hilo ukaondoa ujinga then ukachukua hatua, ukafanikiwa.
Hayo matendo ya udhulumaji, uuaji na utapeli baada ya wewe kufanikiwa ni sahihi kabisa, si matendo ya kiungwana.
Mafanikio ya kweli ni kuuondoa ujinga huku ukitenda matendo ya busara katika jamii.