Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano.
Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano.
Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye asubuhi.
Samia achia madaraka huwezi ukaiua Tanganyika kwa Udini ndani ya Muungano.