Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

mpwa wako yupo sahihi kwa 100%.
hata katika kazi za kuajiriwa mbona graduates hufundiswa na wasio graduates na baadae graduates ndiyo wanakuwa mabosi?

tukirudi kwa mpwao, baada ya kufundishwa ufundi cherehani, anao uwezekano wa kuifanya vizuri zaidi ya instructor wake asiyesoma kwa sababu ya sophistication ambayo ipo associated with academic qualification.
 
Asante mkuu nitakutafuta inbox.
 
Tatizo ni Elimu.... Elimu ikiwa nzuri kila kitu kitakua vizuri..
By the way we're a product of our education
Nakubali Sanaa point yako mkuu
Elimu hii inaniandaa nifanye Nini mtaani zaidi ya kutegemea tu ajira axee
Ni saw na mtu afundishwe kuvua samaki then apelekwe jangwani au porini akawinde two things contrary differ!!......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waajiriwa tunajionaga ni ma GENIUS sana kumbe ni mavi matupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada namjua ana Degree ya accounts - kasota sana mtaani - kwa sasa anauza uji maofisini..!!

kweli kazi ni kazi lakini tukubali tu kwamba tuna tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu.
 
Sahau kuhusu degrees,cha muhimu maisha yaende. Goals za Elimu ni mtu aje aweze kuendesha maisha yake. The center of everything here is life. How utameet needs za maisha. Kwa hiyo kama kushona sherehani kutamletea kipato mwache aende. Kuliko akae kisa degree.
 
Jamaa si alisema tutaishi kama mashetani,ngoja tu enjoy show.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri na kunyambulisha mambo. Kama ndio akili mliyonayo graduate wetu wa kisasa pole sana mkuu. Soma vizuri comment yangu nadhani hujaielewa vizuri. UTAJIONA WEWE NDIYE UMEKOSA AKILI MARA 2
 
Lkn cha ajabu viongozi wa serikali wanaowaambia vijana wanaomaliza chuo wakajiajiri,watoto wa hao viongozi wakimaliza vyuo wanapewa kazi nzuri,per diem za kutosha ila watoto wa maskini wanaambiwa wakajiajiri,UJINGA MTUPU.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cherehani nayo ni kiwanda-Mwijage.
 
Kwa hiyo unataka kushindana na wanasiasa/Viongozi wa serikali. Basi na wewe ingia siasani vinginevyo machozi yako yatakwenda na maji kama ya samaki. No body will take care of you if you dont take care of yourself. SUBIRI WANASIASA NA VIONGOZI SERIKALINI WAACHE KUWAAJIRI WATOTO WAO ILI WAKUAJIRI WEWE!
 
Kwani wanaosemea PH.d za kubangua korosho wao hio elimu yao wameitumia wapi hapa bongo?
Hizo digrii zingine zinatisha mtu kasomea kuendeleza jamii Yaani kundi kubwa la watu community development Lakini yeye mwenyewe hawezi kuji develop hiyo community ataiweza KU i develop?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio uone uongo wa wanasiasa/viongozi.

They should walk the talk or shut up.

Hata wakiajiri wazazi wao wala sina tatizo nao ila waache uongo uongo.

Wao wenyewe hapo zaidi ya kupepeta mdomo hawana skills zozote zile wanajua,wamekalia tu vijana wajiajiri sijui.

Upumbavu mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kweli mkuu, hao wanaosema vijana walio graduate wakawe wajasiriamali ngoja wapigwe chini hizo nafasi walizonazo huwa wanatoa vilio vya huruma na kusahau yale yote waliyokua wanaongea kwenye majukwaa.
 
Sawa kabisa mkuu,kuna RC wa moro alikua na PH.d in food security and Management Magu alivyoingia madarakani akamtumbua mapema tu,aisee yule mzee alikua analia huko magazetini anasema ooh mh.Rais nimekosa mimi nimekosa sana kama Petro alivyomezwa kwenye tumbo la samaki sijui nini.

Lkn wkt akiwa RC alikua akialikwa kwenye hafla mbalimbali alikua ndio bingwa wa kuwaambia vijana mjiajiri jamani eti Morogoro hii inakila aina ya utajiri hahah.

Hii kweli mkuu, hao wanaosema vijana walio graduate wakawe wajasiriamali ngoja wapigwe chini hizo nafasi walizonazo huwa wanatoa vilio vya huruma na kusahau yale yote waliyokua wanaongea kwenye majukwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usithubutu kukatisha Mtu tamaa hasa anapotaka kujikwamua.

Leo utamuona Mpwa wako kama hajielewi..elewa akitu ushauri uliotelewa na wana bodi humu.
Huyo ndio itakuwa source ya kuajiri vijana wengine wengi tu.
Kuna mambo mengi sana juu ya Degree zetu hizi zinatufanya kutoyafikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…