Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Elimu ni makaratasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpwa wako yupo sahihi kwa 100%.Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Asante mkuu nitakutafuta inbox.Kwanza nimpongeze mpwa wako wa kuiona fursa. Hapo naweza kusema mpwao ndio ameanza kuitumia vyema elimu yake.
Mkuu, mpwa wako anaweza kujifunza ushonaji kibarazani akawa fundi mzuri akafungua ofisi kubwa tu na ikibidi ata kampuni ya ushonaji akatoa ajira kwa wengine lakini pia akalipa kodi na kulijenga taifa.
Kiongozi huyo fundi wa darasa la saba anayeshonea kibarazani kuna vitu anavikosa lakini huyo mpwa wako anaweza kuitumia elimu yake kuongeza thamani ya hiyo kazi akatoboa haraka sana.
Kama huyo mpwa wako yupo Dar, karibu na Kigamboni niunganishe nae mimi nitampa sehemu ya kujifunza bure na kumsaidia mawazo nini cha kufanya na anawezaje kupata mtaji wa icho anachotaka kufanya.
Nakubali Sanaa point yako mkuuTatizo ni Elimu.... Elimu ikiwa nzuri kila kitu kitakua vizuri..
By the way we're a product of our education
Nyie mliokuwa mnanicheka mimi nilipofungua kibanda cha soda pale uhindini mbeya sasa ndo Mnaelewa. Wajinga waliobahatika kuajiriwa wakadhani maisha walionayo ni akili, kumbe ni bahati ya kuajiriwa tu, la sivyo mimi niliwazidi kwa kuwa niliendesha maisha bila kumtegemea mtu wala ajira. USHAURI. kwa maisha ya leo, ukiweza kumsadia mtu aliyemaliza chuo, msaidie, na hasa nyinyi mliobahatika kuajiriwa, maana si kwamba wewe una akili bali umebahatika tu.
YAANI WATANZANIA WANAIONA ELIMU KAMA HAISAIDII CHOCHOTE KWA SABABUBYA MIAKA HII MINNE TU AMBAYO AJIRA NYINGI ZIMESITISHWA. WAMEISAHAU KABISA MIAKA AMBAYO AJIRA ZILIKUWA NYINGI.
jamani tuwe wapole, mfano: kitu nilichosomea mimi kabla ya mwaka 2016, ajira zilkuwa zinatoka 50+ kila mwaka na ilikuwa inachukua watu wa course mbili ambazo zilikuwa zinazalisha si zaidi ya 25 graduates per year. Lakini october mwaka 2015 tuliingia chuo watu zaidi ya 40 kwenye course yangu tu na wenzetu walikuwa 20 na tume maintain hiyo trend mpaka leo, ingawa tangu 2015 ajira zinatoka si zaidi ya 5 kwa mwaka.
Sasa hapa tatizo ni kwamba ajira zimesitishwa ndio maana watu wanalazimika kufanya kazi yoyote.
Lakini mkumbuke kwamba ni kipindi tu, mda utafika mambo yatakuwa tofauti tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri na kunyambulisha mambo. Kama ndio akili mliyonayo graduate wetu wa kisasa pole sana mkuu. Soma vizuri comment yangu nadhani hujaielewa vizuri. UTAJIONA WEWE NDIYE UMEKOSA AKILI MARA 2Mimi nashangaa sana watu kama wewe huwa mnakosa akili kichwani . Mfano watu 40000 wameliza vyuo katika fani mbalimbali Tz nzima na ktk hao kumi elfu wakawa wameajiliwa na thelathini elfu wakawa hawana ajira na wakaenda kuanzisha ujasiriamali . Nani atamuhuzia mwenzake .
Mfano 2.
Umemaliza course ya engineering hafu wote mkaenda kufungua construction company miaka miatu ujapata tenda utalipa Nini ada crb na kodi.
Kumbuka crb imedelete compuni nyingi sana mwaka huu kwa kushinda kulipa ada na zingine zimekufa kwa kukosa tenda .
Na compuni nyingi hazina mtaji wa kushika hata tenda za milioni Mia moja na zinaenda kwa kampuni za kigeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wanasoma ili serikali iwaajiri hiyo ndiyo shida
Asilimia kubwa ya wanaojilipua nje za
Nchi ni wasiosoma
Sasa serikali itaajiri wangapi
Me naona ni sawasawa tu wacha wajazanee huko mtaani itafika mahali nchi itakuwa na raia wanaojitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
It sucks.Mkuu kwa sasa hiyo kawaida sana. Kuna vijana walikuwa wanafanya field ninakofanyia kazi baada ya kuhitimu chuo na wamerudi mtaani na ukizingatia maisha tait siku ya siku nikawakuta madogo wako site wanapiga kibarua sidia fundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cherehani nayo ni kiwanda-Mwijage.Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Kwa hiyo unataka kushindana na wanasiasa/Viongozi wa serikali. Basi na wewe ingia siasani vinginevyo machozi yako yatakwenda na maji kama ya samaki. No body will take care of you if you dont take care of yourself. SUBIRI WANASIASA NA VIONGOZI SERIKALINI WAACHE KUWAAJIRI WATOTO WAO ILI WAKUAJIRI WEWE!Lkn cha ajabu viongozi wa serikali wanaowaambia vijana wanaomaliza chuo wakajiajiri,watoto wa hao viongozi wakimaliza vyuo wanapewa kazi nzuri,per diem za kutosha ila watoto wa maskini wanaambiwa wakajiajiri,UJINGA MTUPU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo digrii zingine zinatisha mtu kasomea kuendeleza jamii Yaani kundi kubwa la watu community development Lakini yeye mwenyewe hawezi kuji develop hiyo community ataiweza KU i develop?
Kwa hiyo unataka kushindana na wanasiasa/Viongozi wa serikali. Basi na wewe ingia siasani vinginevyo machozi yako yatakwenda na maji kama ya samaki. No body will take care of you if you dont take care of yourself. SUBIRI WANASIASA NA VIONGOZI SERIKALINI WAACHE KUWAAJIRI WATOTO WAO ILI WAKUAJIRI WEWE!
Hii kweli mkuu, hao wanaosema vijana walio graduate wakawe wajasiriamali ngoja wapigwe chini hizo nafasi walizonazo huwa wanatoa vilio vya huruma na kusahau yale yote waliyokua wanaongea kwenye majukwaa.Ndio uone uongo wa wanasiasa/viongozi.
They should walk the talk or shut up.
Hata wakiajiri wazazi wao wala sina tatizo nao ila waache uongo uongo.
Wao wenyewe hapo zaidi ya kupepeta mdomo hawana skills zozote zile wanajua,wamekalia tu vijana wajiajiri sijui.
Upumbavu mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kweli mkuu, hao wanaosema vijana walio graduate wakawe wajasiriamali ngoja wapigwe chini hizo nafasi walizonazo huwa wanatoa vilio vya huruma na kusahau yale yote waliyokua wanaongea kwenye majukwaa.