[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu umenichekesha sanaKwenye udobi mtu hawezi kunishawishi. Watu wafanye mambo yao kwenye mashuka halafu niletewe nifue? Na degree zangu? Naheshimu kazi lakini hii hapana, unless uniambie nitalipwa mara 100 ya bei ya kawaida.
Bachelor of arts..na sasa anataka kufanya arts! Mbona yupo sahihi kabisa tatizo hapo ni kwenda kujifunza ujuzi kwa uyo ndugu unaesema darasa la Saba japo sipendi hii lugha. maana ata la Saba ni elimu pia ni nani ambaye alifika chuo pia bila kupita la Saba..?? Sasa cha kushauri ni vyuo vyetu kuwa na practical ya muda mrefu..mfano uyo binti mwaka wake wa mwisho angejikita kwenye eneo ambalo analipenda na huko ni full practical amna cha text wala Sapp apo akitoka awezi kwenda kuomba ujuzi Ni kumpa vitendea kazi na mtaji apo utaona tofauti yake na ambaye akwenda chuo kikuu..Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies.
Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia (baraza fulani hivi). Ninavyofahamu huyo fundi cherehani atakayekuwa anamfundisha mpwa wangu kushona ana elimu ya darasa la saba tu, jamani! Huyu fundi atapata ujumbe gani kuhusu kusomesha mtoto?
Hivi kweli ni sawa kijana asome hadi elimu ya university aishie kuja kufundishwa ushonaji na mtu wa la saba? Kulikuwa na sababu gani ya kupoteza gharama na muda wote huo, si bora tu angeenda ushonaji alipomaliza la saba, labda sasa hivi angekuwa mbali sana. Au kuna mahali tunakosea katika elimu hizi, tuna universities nyingi na courses nyingi lakini kumbe wanachohitaji watu ni ufundi cherehani tu! Tunahangaika na mambo makubwa ya gharama kubwa bure tu!
Interestingly mpwa wangu ana shauku kubwa ya kutekeleza mpango wake huu, anauchukulia serious kabisa, anaanza kesho rasmi! Namtakia kila la heri lakini kwa kweli nashangaa tu, mimi katika makuzi yangu niliona degree ni level kubwa sana, si ya kutumia kwenye cherehani. Lakini basi ndiyo imeshakuwa hivyo.
Tunakwama wapi?
Huwa nafuatilia sana ila kazi za aina hii ikitangazwa ni nafasi moja au mbili hasa kipindi hiki ila kipindi cha Jk ndio zilikuwa nyingi
Huyo alikuwa Dr. Rajab ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Ulanga.Sawa kabisa mkuu,kuna RC wa moro alikua na PH.d in food security and Management Magu alivyoingia madarakani akamtumbua mapema tu,aisee yule mzee alikua analia huko magazetini anasema ooh mh.Rais nimekosa mimi nimekosa sana kama Petro alivyomezwa kwenye tumbo la samaki sijui nini.
Lkn wkt akiwa RC alikua akialikwa kwenye hafla mbalimbali alikua ndio bingwa wa kuwaambia vijana mjiajiri jamani eti Morogoro hii inakila aina ya utajiri hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure aisee Kuna vyuo vina course ambazo hazina demand kabisa mtaaniVyuo vikuu vimejaa kozi nyiiiiiingi ambazo hazina needs mtaani. Matokeo yake ndio kama haya.
Unforgetable
Knowledge/maarifa issue ya muhimu Sana na sio mavyetiDegree kitu gani? Wafundisheni watoto wenu wawe na skills nyingi.
Huu ushauri wako si halisia kuna vijana siasa ndio imewapa maisha unasemaje wasijihusishe au unataka keki ya taifa mle peke yenu?Tatizo ni siasa kwenye elimu. Kikubwa vijana tukomae na maisha hivyo hivyo kibishi tusijihusishe na siasa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app