Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

Kwahiyo wewe upo huru ama kweli jitu jeusi akili zero🤣🤣🤣
Wewe mwenye akili Mia hebu tuambie ulitaka uwe na uhuru gani ili ujue nchi iko huru?.Kama unataka nchi yenye uhuru usio na mipaka labda utengeneze nchi yako.Maana duniani hakuna.
 
Na hili ndio tatizo la mwanaharakati mtanganyika wa online.
Maswali mepesi tu, uhuru ni nini? Hakuna binadamu yupo huru 100% wewe unadefine uhuru vipi?
Akikujibu uniambie.
 
GT
Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao.

Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali iwe inatimiza kile wananchi wanataka pia kuepusha ufujaji wa mali za umma na matumizi mabaya ya madaraka.

Kwa hali ilivyo sasa hakuna mwanasiasa wa Kenya atakuwa anaingia madarakani kufanya ujinga ujinga huu ndo utakuwa mwanzo wa Taifa hili kusonga mbele zaidi. Umewahi kujiuliza toka wakenya waanze vurugu back 2007 uchumi wao umeshuka au umepanda? Automatically wako vizuri kuzidi Tanzania.

Pamoja na vurugu za wakenya kutaka katiba na haki lakini sisi watanzania hatujawakaribia hata kidogo kiuchumi Wakenya wanajenga nchi yao, hata sisi tutafika huko kwenye kushikana mashati endapo CCM hawatachukua hatua Mapema, Chadema wamekuja na reforms ambazo ni msaada mkubwa kwa taifa na hata kwa wana CCM wenyewe maana mizengwe ndani ya chama tawala ni mingi .

Naomba nikukumbushe America, Europe na Asia hizo nyakati walishapitia wamepigana sana ndo maana kwa sasa wanaheshimiana hakuna aliyejuu ya sheria na huo ndo huwa mwanzo wa maendeleo katika taifa lolote lile.

Nakumbuka pia Miaka ya 90 kuelekea 2000 nchi za misri, Algeria, Morocco, Tunisia na kadhalika palikuwa hapakaliki viongozi walitolewa sana madarakani hadi pale mambo yalvyokaa vizuri leo wanakula maisha.

Uharibifu unaotokea kenya ni mdogo sana tofauti na kama serikali ingeachwa iendelee na Ufisadi, Wazungu wanasema no pain no gain. Watanzania lazima tupitie maumivu ili kuweza kufikia uhuru.wa kweli katika kusimamia rasilimali zetu la sivyo wachache wataendelea kutuibia na taifa kubaki katika umasikini mkubwa

Ukitaka jambo lolote Zuri lazima ulipe gharama wakenya wanalipa gharama ya kutengeneza nchi yao kwa vizazi vijavyo. Nakumbuka enzi hizo niko chuo boom ilikuwa ni 5000 per day UDSM tulikinukisha sana shukuru kawamba waziri wa elimu enzi hizo alikuja pale jasho lilimtoka toka kipindi hiko boom likawa 7000 kwa sasa sijui vijana wanapata shilingi ngapi.

Pengie bila mgomo wa siku kadhaa pale UDSM enzi hizo huenda boom lisingepanda kirahisi na vijana waliopo chuo leo wanafurahia tu pengine hata hawajui boom Liianzaje kupanda.

Kwa hiyo serikali ya CCM isipochukua hatua mapema Tanzania tunaelekea njia za Kenya lazima tutakuja kushikana mashati huko mbele ya safari sisi tutagombana kwa itikadi za vyama na dini ni swala la mda tu nakihurumia sana kizazi kijacho..

Reforms zinazotakiwa sasa na CHADEMA ni kwa ajili ya kuleta uwajibikaji wa viongozi wetu na si umwinyi. Mtu unamchagua leo anapotea miaka mitano halafu kipindi cha uchaguzi anakuja na Tshirt na anaamini lazima achaguliwe maana tume ya uchguzi ipo mfukoni mwake tukienda kwa mtindo huu Tanzania maendeleo tutayasikia kwa majirani.

Asanteni kwa kusoma
M
Nani wa kusoma haya matope. We mbwa koko ni pumbavu mpk chenji inabaki. Useless sperm
 
Una kinyesi kichwani ila kwetu hakuna fursa ya kufanya huo upumbavu
 
Ukisoma historia ya Taifa la Marekani utakuta walitembezeana sana moto hadi leo wamefika pale.

Wanachofanya maana yake siku za mbele akatokea kiongozi anataka kufanya upumbavu lazima ajiulize mara mbili.

Bahati mbaya haya mambo hayatokei tu hivi hivi ni ladhima baadhi watolewe Sadaka ndipo uhuru na haki ipatikane.
Mavi ya juzi ww
 
Wewe mwenye akili Mia hebu tuambie ulitaka uwe na uhuru gani ili ujue nchi iko huru?.Kama unataka nchi yenye uhuru usio na mipaka labda utengeneze nchi yako.Maana duniani hakuna.
Na wewe pia huna akili
 
Kuna mambo mnayatamani sana lakini bila kuangalia historia ya hizi nchi zetu na nini kinawasumbua Wakenya.

Kama Tanzania enzi za ukoloni - tulifanikiwa kupata uhuru kwa kupiga maneno tu, kama enzi za multipatism kuanzishwa nako ilikuwa ni baada ya kupewa tu na mamlaka kutokana na pressure za kipindi hicho, undhani itakuwa ni rahisi mtanzania kuingia barabarani kwa ajili ya uchaguzi???

Utamaduni wa Taifa ndiyo huamua nchi iendaje - ndiyo maana UK licha ya wao kututaka tufanye demokrasia lakini nchi yao inatawaliwa na familia moja in the name of King na maisha yanaendela.. huo ndio utamaduni wao.. kwa kuwa na sisi tumekuwa tunafanya mambo kwa utaratibu na utamaduni wetu kwa wakati sahihi, na kama upinzani utakuja kushika nchi basi Upinzani watashika madaraka bila hata vurugu na bila hata Chama tawala kushupaza shingo...

Kushadadia haya ya Kenya na kudhani yakija huku kwetu ndiyo tutapiga hatua ni swala la kushangaza sana. Jana wamekufa watu 16, na serikali imelipongeza Jeshi la Polisi - na haya yanayoendelea ni karma kwa Rais Ruto (alimisbehave sana enzi za Uhuru na kuchochea unrest hasa kupitia vijana) sasa kwa miaka miwili toka yeye awe Rais - Kenya ni kama iko kwenye autopilot mode....

Yapo ya kujifunza kutoka Kenya lakini sio Maandamano...
Inafahamika Watanzania kiuhalisia sio wakorofi na wafanyafujo kulinganisha na nchi jirani zinazotuzunguka.

Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba, kama tuliyoyaona South korea, nguvu ya umma decently!
Hii itatutofautisha sana na kutuheshimisha, vyombo vya dola kazi yake ni kutunza amani ya maandamano ya amani.

Tusisubiri sana kwasababu ya maslahi binafsi, hili ni Taifa!
Uvumilivu ni direct proportional na ugumu wa jambo lolote gumu.

Wakitokea watu wamejitolea kuzungumza na hoja ni za msingi,waachwe wazungumze kwa utaratibu wa nchi unavotaka,akikosea ashtakiwe na kuhukumiwa kwa ukweli.

Faida kubwa kabisa ya hili ni UWAJIBIKAJI!

Imagine hii nchi kuna uwajibikaji kiutendaji tu kwa efficiency ya 80% kwenye kila sekta kwa miaka 30 ijayo!
Tutakuwa tumepiga hatua kubwa sanaa kimaendeleo, Mungu awape hekima wenye mamlaka!
 
Back
Top Bottom