Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ni kijana tena kwa mazingira ya bongo bado kajawa na utoto mwingi anayepinga anyooshe mkono juu ni mwone😁Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna wana jifariji tu kujita vijana wakati wanajua umri tayari umewa tupa mkono.
Wasalam.
Ahaaa haaa. Basi kumbe tusiwe na wasiwasi tutembee kifua mbele mkuu.Ni kijana tena kwa mazingira ya bongo bado kajawa na utoto mwingi anayepinga anyooshe mkono juu ni mwone😁
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujita vijana wakati wanajua umri tayari umewa tupa mkono.
Wasalam.
Ujana na uzee ni muonekano sio umri!!!Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana wakati wanajua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.
Wasalam.
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana wakati wanajua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.
Wasalam.
Kweli hii nimeona ujana ni subjective inategemea na namna mtu anavyo jitunza kuna mwingine ana miaka 35 mzee ila kuna wenye miaka 55 bado wako vizuri.Ujana na uzee ni muonekano sio umri!!!
We jiweke sawa acha kushambulia wanga uatakua kijana wa Miaka 65!
Sawa sawa na walikuwa wanashi miaka zaidi ya 150.Enzi za watu kale wa kwenye Biblia, mwanadamu mwenye miaka 70 alitambulika kama kijana...
Sawa sawa na walikuwa wanashi miaka zaidi ya 150.
Sawa sawa.Kijana ni rika ambalo lipo katikati ya umri wa wastani wa mwanadamu...
Hivyo miaka 35 au 45 bado unaweza ukamuita mtu kama kijana...
Ila ni kweli ana kuwa bado na ujinga mwingi kichwani na ujana ndio una kuwa kwenye peak.miaka 35 bado mtoto kabisa, hata kuwa kijana bado tena kwa akili bado kabisa hana hata akili
kdg kwa mwanamke ni kijana ila kwa mwanaume ni mtoto na akili hana vzr
60 je 70 je unachezea uzee wewe. 35-40 45 50 mtu anasimamia mashine...mzee wa 60 70 muacheni apunzikeUjana mwisho miaka 35, kuanzia 36 uyo ni mzee wa makamo.
Kumbe, watu wana jifarijiUjana mwisho miaka 35, kuanzia 36 uyo ni mzee wa makamo.
Napo pakujiuliza watu kama JAY Z na wengine umri wao above 50 lakini wapo vizuri utawaita wazee wale.60 je
Napo pakujiuliza watu kama JAY Z na wengine umri wao above 50 lakini wapo vizuri itawaita wazee wale.
Ila ni muda wakutoendelea kufanya makosa,ila ni muda wakurekebisha ulipokosea iwe ni mambo ya kifamilia,kiuchumi,mahusiano na malengo ya dhati katika maisha.🤔Ahaaa haaa. Basi kumbe tusiwe na wasiwasi tutembee kifua mbele mkuu.
Unatufariji mkuu, tuendelee kuitwa vijana kweli?🤣Kijana ni rika ambalo lipo katikati ya umri wa wastani wa mwanadamu...
Hivyo miaka 35 au 45 bado unaweza ukamuita mtu kama kijana...