Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ56. π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ56. π
You're liar, u kinda look teen at all ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Sawa kiongoziKijana mwisho miaka 45 ndiio maana limiti ya ajira za serikali ni 45 years ukiondoa za majeshi ambazo zinahitaji damu changa 30 kurudi chini
Hii classification naona imekaa poaKibongo bongo naona tuna
Kijana Mdogo,
Kijana
Kijana wa Makamo
Nyoa kidukuNifanyaje mkuu ikiwa umri ushanitupa mkono, haa haaa
Haha wanaobana matako wapi,askari wenzanguWewe wale wote wanaobana matako kukusalimia lazima wakuite mzee.
Ni Mzee umefurahi?Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.
Wasalam.
Umenipa moyo mie wa miaka 69!Enzi za watu kale wa kwenye Biblia, mwanadamu mwenye miaka 70 alitambulika kama kijana...
Ndio zipi kiongozi?Inategemea kwa muktadha upi. Huwezi sema kuwa in general mtu akiwa umri huo basi ni kijana au sio kuna factor za kukadiria umri.
Kwa umri huo lazima kuwe na wanaobana makalio saluteHaha wanaobana matako wapi,askari wenzangu