Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Ni kweli mkuu..
Kama unakula vizuri, unafanya mazoezi, no stress na pesa ipo...Hata miaka 55 bado upo vizuri unless uamue kuzeeka mwenyewe.
Sean-Combs-rapper-clothing-line-fashion-world.jpg


Jamaa miaka 54.
Nikiwa na 55 ninataka niwe kama huyu mwamba
 
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wanajua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
Makamba Jr ana 50 na ushee lakini Bado anajiita kijana
 
Back
Top Bottom