Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Dah kwahiyo sisi tuliozaliwa 1988 ndo tushazeeka eeh?
Hujazeeka.

Kama tukifananisha umri na siku @30 ni saa tano asubuhi, ndo muda kazi zimeshamiri. @ 40 ni saa sita kuelekea saa saba, mida ya lunch hii kuanza kufurahia pesa @ 50 ni saa tisa, hapa kama ulifanya kazi vizuri ukawa na pesa hurudi kazini, unafunga siku pesa zitakufanyia kazi @ 60 saa kumi na mbili giza linaingia ingia kama hukutengeneza fedha bado unapambana ila dah! @70 ni saa moja liwalo na liwe huna namna jua limeshazama, ulivyo ndo ulivyo labda itokee bahati @ 80 usiku ushafika ni either wewe ni mzigo kwa watu wako wa karibu au wanafurahia uwepo wako.
 
Umeeleza vizuri kwa mfano hai.
 
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
ni vizuri kuzingatia nguvu na uwezo wako katika mambo mbalimbali ndio kipimo kizuri zaidi kujijua kwamba wew ni kijana au Mzee 🐒

ukiona kuna mambo huwezi perform ipasavyo hata kama una miaka 35, that is the best signal kwamba wew ni Muzee 🐒

na ukiwa na 75yrs of age na unaperfom issues mbalimbali kwa bidii bila kuchoka na matokeo yanainekana wazi,then wew ni kijana tu 🐒
 
Ooh so age is just a number. What matters ,is your physical and mental ability.
 
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
Ww una umri gani?

Au unataka tukuite mtoto
 
Back
Top Bottom