Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
You are as Old as You feel inside.

Maisha yako yanatokana na maamuzi ya ndani yako.

Unachoruhusu kitawale kila sekunde ya uhai wako ndicho kinachoyaendesha maisha yako, kwa kujua ama kwa kutokujua.

Mara nyingi kwa kutokujua.
 
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
Ni kijana ambaye probably ndiyo kamaliza chuo kikuu na bado anaishi kwa wazazi wake
 
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
Bibii
 
Back
Top Bottom