Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Jitahidi na wewe uitwe kijana
 
Wanasiasa hutumia ujana kiulaghai
Yeah! Wanawalaghai watu(Wapiga kura) kwakuwa inaeleweka kijana bado damu ni moto moto na anaweza kukimbia huku na kule kufukuzia haki na kutatua kero za wananchi hao wadanganyika na kuwaletea maendeleo. Akisha chaguliwa anaenda kupumzika au utamwona bungeni anasinzia au hasemi lolote zaidi ni kupiga makofi baas.
 
Kweli kabisa na wana kwambia kwani bungeni watu wanaenda kubeba zege, ? haaa
 
Kijana mwisho miaka 45 ndiio maana limiti ya ajira za serikali ni 45 years ukiondoa za majeshi ambazo zinahitaji damu changa 30 kurudi chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…