Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mkusanyiko wa votabu kufanya biblia ilikua Karne ya 14
kama sikosei
 
Bustani ya Edeni sio sehemu Bali ni uwepo
 

Mkuu kwahio inawezekana hata ile izrael ikawa ya mchongo nikifatilia naona kama tumepigwa pale...yawezekana Ethiopia ndio ikawa asili ya izrael taifa ya yakobo.
 
Fuvu la binadamu wa kwanza kuishi duniani, linapatokana Olduvai Gorge. Hii ni kwa mujibu wa historia. Hivyo binadam wa kwanza labda alikuwa mtu mweusi tena Mtanzania.

Kwahio hilo fuvu ndio adam mwenyew au..
Hivi vitu mimi bado vinanichanganya wakuu
 
Mleta mada, mambo vipi? Kabla ya kuuliza hili swali lako ulishapata kwanza uthibitisho (Valid Evidence) kwamba Adam na Hawa walikua ni wa rangi gani?

Kama huo uthibitisho unao, uweke hapa alafu niendelee kulijibu swali lako.
 
Mleta mada, mambo vipi? Kabla ya kuuliza hili swali lako ulishapata kwanza uthibitisho (Valid Evidence) kwamba Adam na Hawa walikua ni wa rangi gani?

Kama huo uthibitisho unao, uweke hapa alafu niendelee kulijibu swali lako.
Kutokana na jamii ya watu wa mashariki ya kati .
 

Sasa huyo sethi alijamiiana na nani mpka akapata watoto?
Au walikulana ndugu kwa ndugu?
Na je hao watoto 80 wa adam alizaa na hawa pekeake au ilikuaje hapo ufafanuzi pls[emoji56] mi sielew haya mambo.
 
Sisi tunaita principle of recognition and sense of belonging towards one satisfaction. Logic ya fuvu la Olduvai kulihusisha na binadamu au mtu wa kwanza halina logic kwani isingekua io discovery je mada ya juu ya watu weusi ingekuaje?

Point ni nyepesi pasipo kutumia mfano wa Olduvai tusibitishe kuwa hatujatokana na Adam na eve na pia sisi ndio Baba wa races zingine ...MADA NA iWAKE🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…