Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mbona wengi wazaliwa wa Mbeya kwenye baridi ni weusi na sio weupe?
 
Kwanini unasema sio uzao wa Adamu na Hawa? Kwani nini kilithibitisha kwamba Adamu na Hawa walikuwa weupe?
Kwa kuwa ni watu wa mashariki ya Kati ambao kibiolojia ni watu wa rangi nyeupe . Mfano wayaudi, wajameni na waarabu.
 
Creation theory katika vitabu vya masomo kama hayo uliyoyataja hakuna sehemu vinataja binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam na Hawa!
Ila vinawataja wakina nani Kama watu wa kwanza ?

N.b: Usiseme binadamu wa kwanza sema watu wa kwanza.
 
Mbona wewe pia maelekezo yako yamejikita katika historia na maandiko ya kidini? Kwa nini usiwe utafiti nje ya hapo hauoni kuwa na wewe unajifunga.
 
NGOJA watakuja watu elimu za ANNUNAKI na Lizard people watakusimulia historia zao.

Ukitaka kuwasikia na kuwalewa vizuri nenda Facebook kwenye group la KUNDALINI AWAKENING linaloongozwa na mjamaa fulani anaitwa James Kashirima
 
Ila vinawataja wakina nani Kama watu wa kwanza ?

N.b: Usiseme binadamu wa kwanza sema watu wa kwanza.
Hivyo vitabu havitaji habari ya watu wa kwanza..vinaongelea evolution ya viumbe akiwemo binadamu...hakuna sehemu Adam na Hawa wametajwa katika vitabu vya elimu ya darasani!
 
Kwani kuwa walikuwa watu wa mashariki ya Kati.
Hakuna uhakika kama binadamu wa kwanza walioishi mashariki ya kati walikuwa hawa wanaoishi kule sasa, mfano mzuri watawala wa mwanzo wa Misri hao kina Tutsi walikuwa ni weusi kabisa!
 
Hivyo vitabu havitaji habari ya watu wa kwanza..vinaongelea evolution ya viumbe akiwemo binadamu...hakuna sehemu Adam na Hawa wametajwa katika vitabu vya elimu ya darasani!
Nasema tena usiseme binadamu sema mtu.unajua hata maana ya neno binadamu ?
 
Hakuna uhakika kama binadamu wa kwanza walioishi mashariki ya kati walikuwa hawa wanaoishi kule sasa, mfano mzuri watawala wa mwanzo wa Misri hao kina Tutsi walikuwa ni weusi kabisa!
Sema watu sio binadamu.
 
Kulijibu swali lako ni lazima tuachane na masuala ya Imani na tutumie sayansi zaidi
Watu wote duniani ni nasaba Moja tu na tufauuti ya rangi kv mzumg,, Mwafrija nk. Vimetokana na mazingira. Kupitia evolution watu wa aina moja walioishi Kwa muda mrefu eneo Moja wali retain some traits na ku undergo some changes ili kukabiliana na mazingira. mfano, waafrika walidevelop colour nyeusi kukabiliana na jua kali nk..nk.

Kiimani hakuna maellezo thabiti kwanini wazungu wanatofautiana na waafrika
 
Mchina na Mwafrika wanafanana kimuonekano ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…