Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Kwa nini umeweka hii N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi ??
 
Quran inasema mtu wa mwanzo duniani alikuwa mweusi,Science inasema mtu wa mwanzo katokea Afrika,..Afrika ni ya watu weusi

Hapo Dini na Science zimekubaliana, mazingira na chakula ndiyo yanayomfanya mtu abadilike
Unauhakika wale wamwanzo Africa walikua ni binadamu
 
izi bible na kuruani tumepigwa bro, nikikaa kushangaa races zote duniani kama wachina, wahindi, waafrika, wazungu, waarabu wote hatufanani kwa muonekano, sasa nin ilikuwa chanzo cha races kubadirila na kwanin sasa ivi hakuna races nyingine mpya kama wasemavyo kutokana na kubadirika kwa mazingira,

black man anazaliwa urusi adi anazeeka urusi lakin rangi yake haibadiriki adi anakufa, mzungu anazaliwa Africa lakin habadiriki kuwa black ad anakufa
 
Hapo ndipo pana leta mkanganyiko mkubwa .
 
Unauhakika wale wamwanzo Africa walikua ni binadamu
Kwa mujibu wa science,ndio walikuwa binadamu

kwa mujibu wa Quran Mungu ka muumba binadamu wa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi..

Kwa mujibu wa uhalisia wa hili jambo,Afrika ndio continent lenye asili ya watu weusi..

Tafakari
 
Hakuna mwanadamu asiye wa Uzao wa Adamu na Hawa! Mwafrika alitoka kwa Hamu,mmoja wa watoto wa Nuhu.
 
Wale Adamu na Hewa ndio Hewa hawakuwa Wachina, Wazungu, Waarabu wala nini nani!! Shabash.
Fanya sayansi, fanya yote. AFRIKA ndipo alipo fanya kazi(Mungu)

...afadhali kama itakuwa hivyo, kuwa Waafrika hawakutokea kwenye watu waliomkufuru Mungu.
Mnahangaika sana na Afrika. poleni
 
Waafrika, waarabu, wachina walitokea wapi ?
 
Asili ya mtu mweusi ni kule misri na babu yao ni farao hilo halina ubishi na litabaki kuwa ukweli mtupu. Ndio maana mpaka leo watu weusi wako africa na wazungu wapo huko makwao!
 
Angalau kidogo wewe umesema mkuu,lkn kuna wafia dini hawatokuelewa
 
Hivi unajua kwamba Australia ilikuwa ni nchi iliyokuwa ikikaaliwa na weusi,zipo nyingi Denmark,Fiji,India na nyingi nyinginezo na kukaa huko sio wameanza juzi la hasha miaka hiyo ya zamani kabisa wamekuja kumalizwa na ubaguzi kuanzia enzi za utumwa mpaka ukoloni,hebu tafiti kuanzia hapo uendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…