Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mtu mweusi si uzao wa Adam na Hawa, (kibiblia au kiimani zaidi ) ndo tunajua Adam na Hawa ni binadam wa kwanza kuumbwa na Mungu ila Mungu kabla ya kumuumba adam na hawa alishaumba mijitu ya rac mbali mbali ambao hawakuwa wakijua uwepo wa Mungu mijitu hiyo ilikuwa ya aina mbali mbali waarabu,wachina , Albion waafrica wahindi nk ambao hawakujua wala kutambua lolote kuhusu ukuu wa Mungu muweza wa yote

hivyo Mungu kumuumba adam ni pamoja kuja kuwafumbua hao mijitu juu uwepo wa Mungu muweza wa yote , na kuna mstari kwenye bible Kain alimuua nduguye na kwenda mbali kuanzisha family yake ,sasa unazani alikwenda kuanzisha familia na nani,ni kwamba kuna watu Mungu alishawaumba kabla ya Adam na Hawa
 
Kwani nani ajuaye with proof kuwa Adam na Eva walikuwa weupe? Nachoweza kisia mimi ni kuwa mtu mweusi anaweza badilika kizazi had kizazi na kuwa mweupe but mzungu hawezi change kuwa black so ADAM by assumption was black
 
Mi nadhani duniani kulishakuwa na binadam kabla ya Adam...rejea katka Bible baada ya Caine kumuua Abel alitoweka mbele ya baba yake yaani adam na akiwa huko alikutana na binti wa WANADAMU na akapata watoto huko swali je mke wa Caine alikuwa kutoka wapi?
 

Hapana kiongozi. Watu wa dini wametaja Biblia na Quran kama vitabu vya rejea ambavyo unaweza kufanya reference kuhusu Adam na Hawa/ Eve. Sasa tunaomba majina ya hivyo vitabu kwa ajili ya rejea. Kusema vitabu tu vya Geography, History haitoshi.
 
Kwani nani ajuaye with proof kuwa Adam na Eva walikuwa weupe? Nachoweza kisia mimi ni kuwa mtu mweusi anaweza badilika kizazi had kizazi na kuwa mweupe but mzungu hawezi change kuwa black so ADAM by assumption was black
Wewe na uzao wako mkienda ulaya mkaishi miaka na miaka mna kuwa Wazungu ?
 
Swali zuri.
 
Hapana kiongozi. Watu wa dini wametaja Biblia na Quran kama vitabu vya rejea ambavyo unaweza kufanya reference kuhusu Adam na Hawa/ Eve. Sasa tunaomba majina ya hivyo vitabu kwa ajili ya rejea. Kusema vitabu tu vya Geography, History haitoshi.
History 3, Geography 5 , Biology 3 na level ya juu vipo .
 
Adam ni binadamu wa kwanza kuumbwa na kufuatia Hawa. Hao walikuwa na asili ya watu wa Mashariki ya kati.

Baada ya hao, binadamu wengine waliendelea kuumbwa kwa mtindo wa Mume na Mke wa race moja na kuwekwa katika Mabara mbali mbali ili waendelee kuzaana.

Waliendelea kuzaana hadi wakakutana katika misafara ya Biashara na Utafiti na wakaoana na kuchanganyika.

Kiasili race moja haiwezi kuzaa race nyingine.
Yaani Wachina wazae Mwafrika mweusi haiwezekani, hali kadharika kwa Wazungu, Waarabu nk.

Tunakumbuka Kolumbus alivyo safiri hadi Marekani aliwakuta Wahindi wekundu bila mchanganyiko wa race nyingine.

Hivyo basi kila race ya asili ina Babu na Bibi wao. Mungu ndivyo alivyotaka kuumba mtu kwa radha mbalimbali.

Biblia imeandika hasa huhusu Binadamu kumjua Mungu. Mambo mengine imeacha Wanadamu waendelee kuyagundua kwa akili walizopewa.

Kwa Waafrika weusi utafiti umejirisha kuwa Babu na Bibi yetu alianza kuishi hapo Tanzania katika Korongo la Olduvai.
Huenda huyo Zinjantropus alikuwa mjukuu tu au kitukuu au kilembwe cha kilembwekeza cha Mwafrika mweusi aliyeumbwa yeye kama yeye na Mkewe ambaye anasadikiwa kuishi hapo Kondoa kadiri ya miaka milioni tatu iliyopita.

Hii ndio nadharia sahihi ya sasa.
 
Kidogo wewe mkuu umeandika kitu chenye kueleweka na kufikirisha zaidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…