Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Bila shaka huo ni mtazamo wako ila hakuna ukweli wowote.
Nadhani unafaham ama ushawahi kumskia malikia wa Sheba kutoka Ethiopia,
Malkia wa Sheba alizaa na Mfalme Suleman, mtoto aliitwa Meneliki wa Kwanza naye akamza Menelik II, Menelik II akamzaa Haile Sellasie
Swali je hao wote walikuwa watu weupe na ikumbukwe Suleman ni uzao wa Daudi generation ya Baba wa Iman Ibrahim.

Ungesema habar za Evolution kibiologia angalau ungekuwa unaelekea kweny fact japo hakuna empirical evidence.
Mkuu, kati ya Suleiman na Selassie kuna zaidi ya vizazi vitatu.
 
Adam alifanana na udongo,yeye na Eva pia.Mtu wa kwanza mweupe kwenye bible ni Noah (Nuhu),historia imepotoshwa kwa makusudi kabisa
 
Siri ya chimbuko na asili ya mtu mweusi sio adamu na eva (soulless hawa) angalia nyimbo ya kendrick Lamar nyimbo inaitwa All the Stars angalia kuanzia dakika ya 3 mpaka dakika 3:33. Ukiangalia leta mrejesho hapa.
Nime angalia iyo ngoma lakini sijaelwa chochote mkuu.
Ninge omba ufafanuzi kidogo mkuu.
 
Vp kuhusu hichi Kitabu cha Paul Lawrence
( making of the white people)
Kuna mdau humu humu alikielezea kwa kiasi fulani kwamba watu weupe ndiyo waliotokana na weusi
 
Kibaiolojia ni kwamba haiwezekani mtu mwenye rangi nyeupe kumzaa mtu mwenye rangi nyeusi anapofanya sex na mtu mweupe.
Never
Mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa.Adamu na Hawa hawakuwa wazungu, la hasha. Walikuwa watu weusi.

Kwa mujibu wa biblia, soma kitabu cha Mwanzo; 25: 24-26.

Ukitafakari kwa makini maandishi ya biblia, utajua ya kwamba wazungu walitokana na uzao wa Esau, mtoto wa Isaka na mkewe Rebeka.

Rebeka alizaa watoto mapacha; Esau na Yakobo. Biblia inatuambia Esau alikuwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Yamkini alikuwa tofauti na rangi ya wazazi wake ndiyo maana ya kutoa maelezo juu ya mtoto wao. Lakini maelezo ya rangi ya Yakobo hayapo. Hivyo pasiposhaka Yskobo alikuwa na rangi asilia ya wazazi wake kutoka kwa Adamu na hawa.

Kwa hiyo wazungu ni kizazi cha Esau na weusi ni kizazi cha Yakobo. Hayo ni mawazo yangu. Hebu nawe tafakari kwa kusoma kitabu cha Mwanzo:

25:24 Siku zake za kuzaa zilipotimia, tazama! Mapacha walikuwamo tumboni mwake.

25:25 Wa kwanza akatoka, naye alikuwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Wakamwita jina lake Esau.

25:26 Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake unamshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo.
 
Mzungu wa kwanza ni Noah(Nuhu),na kutokea hapo kizazi cha watu weupe
 
Nina Swali mkuu[emoji120]

Kutokana na ulicho andika Ni fikra kwamba weusi ndio walikua wamejaa dunia. Sasa basi..

Kama weusi ndio walikua wengi,

Kama esau alikua pekeake mzungu aliwezaje yeye mwenyewe kujaza wazungu mabara yote hayo kutoka kwa mke wake mweusi.
Watoto piya wali wa oa wanawake weusi.
Wajukuu piya wali wa oa wanawake weusi.

Sasa kivipi hapo akapitisha kizazi chake mpaka leo??
 
Esau alikuwa mwekundu na alioa mwanamke mweusi. Watoto wake walikuwa chotara, hawakuwa wekundu tena. Wazungu unaowaona wametapakaa kila sehemu ni uzao wa watoto chotara.

Kumbuka pia kuwa Esau alikuwa sio mtu wa kukaa nyumbani, alikuwa mwindaji, aliondoka nyumbani. Hivyo huenda kutokaa kwake mahali pamoja kulifanya uzao wake usambae maeneo mengi.
 
Sawa.

Watoto hao pia nafikiri wali oa wanawake weusi pia.

Hapa rangi huoni Kama itaendelea kufifia mkuu?
Na nywele lazima ziwe za kwetu mkuu?
 
Inawezakana kweli walioa wanawake weusi, lakini pia wanawake chotara waliweza kuolewa wanaume weusi, ama walioana chotara kwa chotara.

Katika mseto huo wa ndoa ndiyo umezaa rangi mbalimbali za binadamu. Hata watu weusi hawana rangi sawa za ueusi wao. Halikadhalika wasioweusi pia wana rangi za uwiano wao.

Kumbuka mtoa hoja alitaka kujua kama watu weusi ni uzao wa Adamu na Hawa, na huko ndiko nilikojikita.

Nasisitiza kuwa watu weusi ni uzao wa Adamu na Hawa.
 
Hivi humu hakuna sheh,padre,sister,askofu,mchungaji na kiongozi mwingine wa imani yoyote niliyoisahau ambaye pengine anaweza kusema lolote kuhusu hili tukapata mwanga
 
Vile viumbe vinavo jibadilisha naku vaa miili ya watu ndio vina tu aribu mpaka leo
Na wale ndio waadui wa kubwa wa wabantu toka enzi. .

Hatu tokani kamwe na mweupe yeyote yule Hapa duniani.
 
Back
Top Bottom